1. Mwita Waitara
Huyu alinunuliwa kutoka chadema na akaliingiza taifa letu kwenye hasara kubwa. Alilopwa pesa na pia uchaguzi ukarudiwa. Tulikuwa na Serikali ya ajabu sana.
2. Kitila Mkumbo
Huyu...
Wanajamii I must grab this rare opportunity to document a very attractive political scenario which was discussed for the past 7 years or so.
It is a story of two key politicians who nearly...
Hivi kwenye suala la kuchagua mawaziri huwa wanaangalia vigezo vipihasa??
Kwa sababu hii list iliyotolewa sijaielewa bado kabisa yaani hakuna mtoto wa mkulima hata mmoja dah inakuwaje hii kitu...
Hapa hatutakubaliana,hii nchi ina zaidi ya watu milioni 60, haiwezekani watoto wa viongozi waliopita ndio wawe watawala kila siku, hii nchi si ya kifalme,hii nchi ni yetu sote
Haiwezekani...
Ewe Mtanzania mwenzangu, nchi hii ni yetu tumepewa na Mungu aliyeziumba Mbingu na nchi. Tumepewa iwe urithi wetu. Ni jukumu na wajibu wetu kuiombea mema na kuikinga na mabaya dhidi ya maadui wote...
Ridhiwani Kikwete amekiri na kumpongeza Mh Rais Magufuli kuwa Jitihada za Serikali yake zimewezesha kuanzishwa kwa ujenzi wa viwanda saba.
Kabla ya awamu ya Magufuli Chakunze haikuwa na mradi...
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika...
Pana haja ya kumpongeza Mama Samia kwa spana zake hadi tukae sawa. Hakuna namna, maana wajinga ni wengi mno!
Eti nyoyo za watu zaonekana kuwa na maduku duku. Kwani tulitegemea dodo chini ya...
Nimeona clip ya waziri Ummy akiongelea kuhusu kuboreshwa kwa utaratibu wa uchangiaji wa bima ya afya.
Ameongelea juu ya kuboresha aina ya uchangiaji wa sasa ambao unamfanya bachelor achangie bima...
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na...
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.
Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa...
Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi.
Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa...
Prof Lipumba amesema kukopa kopa siyo jambo jema lakini hatuna namna kwa sababu fedha zote za ndani zinazokusanywa na serikali zinaishia kulipa mishahara ya watumishi wa umma, wabunge na kulipa...
Aliye na macho haambiwi tazama,zile zama za pesa kununua nafasi ccm zimerudi
Kijana kama ulikuwa na ndoto kuwa mbunge au Diwani kupitia ccm na huna pesa sahau,kafanye shughuli zingine au tafuta...
Msifikiri kuwa Waitara Mwita (Naibu Waziri TAMISEMI) kaanza leo kuropoka ropoka (off-course pengine hajaropoka kaongea ukweli), ameanza siku nyingi na ndiyo tabia yake hiyo. Huyu jamaa miaka ya...
Kuna kipindi Magufuli aliwahi kuwaonya hawa mabwana kuwa waachane na mbio za uraisi kwa vile umri umeenda ..
Ila inaonekana hawakumuelewa na wakaendeleza mikakati chini kwa chini..sasa Samia...
Je wavijua vigezo vya kuwa waziri bongoland.
Twende pamoja sasa;
1.)Uwe mtoto wa kigogo mwenye jina serikalini hata kama sio baba yako basi ukoo.
2.)Uwe mtoto wa kigogo mwenye jina serikalini...
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Leo umetangaza bei ya kuunganishiwa umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.