Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Ijumaa khareem, Kwaunyenyekevu mkubwa naomba kuwarejesha awamu ya nne Pale tulipoambiwa kuwa Mtoto wa Rais wa Tanzania wakati huo Mhe Jakaya Mrisho Kikwete, Ridhiwani Kikwete amekamatwa huko...
16 Reactions
143 Replies
14K Views
Hili ni bandiko la kumkumbusha tu Nape Nnauye kuwa si kweli kwamba CCM ina wenyewe kama alivyosema kwenye bandiko lake la jana huko twita akimjibu kiroboto. Bwana Nape akiwa kiongozi wa juu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Huu ni wito kwa "mwanaharakati" na "mtetezi wa haki za binadamu" kupaza sauti na kumuomba radhi Prof. Abdirazak Gurnar na wengine ambao waligeuka wakimbizi kutokana na siasa za Mzee...
9 Reactions
96 Replies
7K Views
Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge. Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita...
7 Reactions
129 Replies
10K Views
TUMEPOTEZA JABARI NA MWAMBA WA UCHUMI KATIKA SIASA ZA AFRIKA NA ELIUS NDABILA 0768239284 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli amemaliza kazi yake aliyoandaliwa kufanya hapa duniani. Kifo si...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari Nipo hapa natafakari huu muungano wetu ambao binafsi nauona umekosa usawa kabisa Kuna hili suala la urais na umiliki wa mali katika Muungano huu. N rahis kwa mzanzibar kumiliki...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Ripoti ya kamati ya Kilichotokea Cloudes kutolewa leo saa nane Mchana
4 Reactions
92 Replies
12K Views
Kwenye tukio la leo amenza mkuu wa mkoa kumshambulia Lissu kuhusu alilosema la Rais kukaa miezi 9 na kukopa trillion 10. Akaenda mbali na kusema kwanza hana mbunge hata mmoja Bungeni. Lakini kwa...
28 Reactions
56 Replies
4K Views
Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana watu kuingiziwa Umeme kwa sh.27,000/- lakini kwa January Makamba haiwezekani. Wakati wa Medard Kalemani iliwezekana maji kujazwa kwenye Bwawa la Mwl Nyerere...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kutokana na matukio ya leo tar 07 Jan 2022 unatabiri vichwa vya habari kesho vitakuwaje?
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Dkt. Sada Mkuya amesema wamepokea dola milioni 100 za kimarekani sawa na tsh billion 200 na ushee ambazo zitatumika kuimarisha...
6 Reactions
210 Replies
12K Views
Mjombake Mwendazake Dotto James katupwa nje. Sukuma gang in big trouble
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Katiba yetu inasema wazi kuwa Rais atakoma kuwa Rais mara anapofariki. Dakika ile anapofariki tu, Urais wake umeishia pale. Hafi, akiwa umeubakiza Urais nyuma kiasi cha kuweza kukasimisha kwa mtu...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Kiukweli CCM inajua namna ya kucheza na wapinzani wake. Baraza la mawaziri limeshushwa chap kwa haraka, Chadema wameshasahau habari za Spika mstaafu Ndugai sasa wanamjadili Spika mtarajiwa...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nazani nimeeleweka maana Kawa kimya sana
1 Reactions
16 Replies
1K Views
habari za siku mingi waungwana wa jf. Ndugu zangu kuna habari nimeikuta kwenye gazeti la nipashe jana. mwandishi anahoji kwanini mgombea urais kwa tiketi ya ccm kwanini anajinadi yeye kama yeye...
0 Reactions
7 Replies
964 Views
Tulishaambiwa ccm inawenyewe za chini kwa chini ni kuwa membe anaandaliwa kuwa mgombea mwenza huyu aliyeko atapumzishwa sababu hazijulikani Pia mangula lazima aondolewe kwenye chama kabla ya...
0 Reactions
9 Replies
793 Views
Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikiangalia ktk teuzi Magufuli alikua anajitahidi sana na utaona alikua anateua mtu akitaka matokeo flani ktk kutimiza vision zake ktk kuliletea Taifa maendeleo. Kuna watu unaona kabisa alikua...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom