nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,459
1. Mwita Waitara
Huyu alinunuliwa kutoka chadema na akaliingiza taifa letu kwenye hasara kubwa. Alilopwa pesa na pia uchaguzi ukarudiwa. Tulikuwa na Serikali ya ajabu sana.
2. Kitila Mkumbo
Huyu hata ubunge pale ubungo alikuwa Hana uwezo wa kupata. Mwendazake bàda ya kujua kuwa huyu aliwahi kuwa kiongozi chadema akambeba na kimpa uwaziri. Kichwani hamna kitu utendaji zero
3. Kabudi
Hakuna asiyemjua. Huyu ndiye aliyekuwa master plan wa Kila kitu. Mpaka alienda kuonja dawa Madagascar kama mtaalam wa afya wakati ni mpuuzi mmoja tu hivi amejaa kujipendekeza. Huyu ndiye aliyekuwa kichwa Cha jiwe
4. Mwambe
Alipewa uwaziri bila kuangalia kuwa tangu kuwa mkurugenzi wa kituo Cha uwekezaji kafanya nini. Kwa kuwa jiwe alikuwa anafanyakazi kwa mzuka akamteua.
5. Lukuvi
Huyu Hana shida lakini ametumika miaka mingi sana mpaka inaboa. Bora mama apate washauri wapya kuliko kuendelea na wale wale .
Wengine malizia.
NB
Nape tunataka report ya kuvamiwa kituo Cha cloud na Makonda na wale waliokunyoshea bastola watafutwe Ili tuwarekebishe au kuwafurusha kabisa.
Makonda Yuko kama Sabaya mashangaa mpk Leo Yuko mtaani tu. Lkn pia Mnyeti na Gumbo Wana ya kujibu.
Hongera sana mama