Mwenye kujua Ndugai alipo atujuze

Mwenye kujua Ndugai alipo atujuze

Yupo coco beach [emoji3553],, anawasoma mnavyohangaika tu
 
Jaribu kuulizia mirembe labda.
 
Jana alionekana nyumba mdogo amelewa kwa Sasa hatujui.
 
Nenda kwake kisasa pale dodoma utamkuta kajaa tele
 
Unaweza kukuta sasa hivi yuko mafichoni huku kende zake zikiwa zimewambwa ili kuchapwa na fimbo nyembamba.
Watu wasiojulikana sio kabisa.
 
muacheni mzee ale bata sasa....yuko stress free now....Mzee Job kula bata sasa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom