Dunia Tambala bovu: Dkt. Slaa adaiwa kurejea kwenye nyumba aliyojengewa na CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,323
217,344
Haya_Maisha_Haya_Yanataka_Unyenyekevu_Sana_Imagine_Dkt_Slaa_Karudi_Kimyakimya_Kwenye_Nyumba_Al...jpg

Inadaiwa amerejea kinyemela au kwa lugha ya kistaarabu amerejea kimya kimya , halafu karejea peke yake , Haifahamiki mwenzake kamuacha wapi .

Dkt. Slaa amerejea Tanzania baada ya kustaafu ubalozi kwenye nchi moja huko ng'ambo.

Natoa pongezi kwake kwa kuamua kukumbuka alikotoka.
 
Picha inafikirisha na kuumiza sana, Nikiona vile naamini maisha ni mafupi sana, yaani hakuna kinachodumu milele. Just imagine hao wote hawapo na leo Dr Slaa anahaha hajui pa kwenda.

Dunia hii tutendeni mema , na kukanyanga hii ardhi kwa adabu na staha. Huwezi amini kwamba ipo siku moja hatutakuwa ONLINE

Dah!
 
Chadema hawa hawa walioshindwa kujenga ofisi wamjengee Dr slaa nyumba? Chadema hawa hawa hata pesa za dhamana wanachangiwa? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.
kumbuka kiongozi wa chama hicho unachoona hakina fedha kuwa wazazi wake wote pande mbili kwanzia baba mzazi hata mkwe pia hela zao zimechangia kuleta uhuru ccm kutawala, Chadema ina hela na ina watu.

tenga uchaguzi hata kesho bila kampeni tukiwa na tume huru uone kitakachotokea.
 
Ndio kukoje huko kukanyaga ardhi kwa adabu na staha
 
Chadema hawa hawa walioshindwa kujenga ofisi wamjengee Dr slaa nyumba? Chadema hawa hawa hata pesa za dhamana wanachangiwa? Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi.

Kwa taarifa yako mawaziri, wakuu wa mikoa, wakurugenzi nk wanatembea na maVX ya zaidi ya 400m@, na wana maji safi mpaka ya kuflash chooni, lakini wananchi huko vijijini wanakunywa maji kwa kuchangia na wanyama. Usitarajie hao viongozi mpaka wajenge ofisi ndio viongozi wake wapate hizo huduma bora.
 
Picha inafikirisha na kuumiza sana, Nikiona vile naamini maisha ni mafupi sana, yaani hakuna kinachodumu milele. Just imagine hao wote hawapo na leo Dr Slaa anahaha hajui pa kwenda...
Ni kweli kabisa Mkuu maisha ni mafupi sana. Lakini vifo vyao vimetokea kama upepo, yaani kama vile walikua vitani halafu wakalipuliwa na bomu.
 
View attachment 2075196
Inadaiwa amerejea kinyemela au kwa lugha ya kistaarabu amerejea kimya kimya , halafu karejea peke yake , Haifahamiki mwenzake kamuacha wapi...
Hayo no matusi makubwa kwa chadema kama nikweli walimjengea nyumba slaa wakati chama hakina ofisi kuu hapo ndiyo ujue mwenyekiti wa chadema ni mbabaishaji na mtu wa maslahi binafsi kama anaamua kumeidhisha mtu mmoja huku anakinajisi chama kwajushindqa kujenga iofisi je akipewa nchi anaweza kuiongoza kweli?

Ndiyo maana watanzania wengi wameshamshtukia mbowe Hana uwezo wa kiuongozi ni mchumia tumbo na ndiyo maana lowasa alimuingiza mkenge akakubali leo hata nsugai anaweza akawainhiza mkenge agombee urais wakakubali
 
Picha inafikirisha na kuumiza sana, Nikiona vile naamini maisha ni mafupi sana, yaani hakuna kinachodumu milele. Just imagine hao wote hawapo na leo Dr Slaa anahaha hajui pa kwenda...
Mimi ninavyo ona maisha mafupi ndio huwa naona hamna haja ya kutenda sijui hayo mema kwasababu tunaishi muda kidogo hata hatudumu ila tungekuwa tunaishi muda mrefu ningekuwa natenda hayo usemayo yawe hazina yangu.

Nb Huwa nafanya kitu sio kama msaada hamna huwa natarajia outcome
 
kumbuka kiongozi wa chama hicho unachoona hakina fedha kuwa wazazi wake wote pande mbili kwanzia baba mzazi hata mkwe pia hela zao zimechangia kuleta uhuru ccm kutawala, Chadema ina hela na ina watu.

tenga uchaguzi hata kesho bila kampeni tukiwa na tume huru uone kitakachotokea.
Usiseme ina hela labda sema ina watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom