HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA 1963 - 1964?
Mnamo mwaka 1934 kilianzishwa chama cha AA “African Association, hichi kilifanya kazi ya kupinga ubaguzi dhidi ya watu wa Zanzibar na...
Tumeshuhudia migogoro isiyoisha ya ardhi na migogoro inayohusiana na kulipwa fidia ilikupisha uwekezaji.
Nina habari niliyopenyezewa kuhusu mgogogoro wa chini kwa chini kuhusu ardhi ya...
Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu...
Bado nashikilia nadharia kuwa ni bora zaidi, hasa kwa nchi isiyo na uwezo mkubwa, kuvifanyia marekebisho vipee vibovu vya Katika (Constitutional ammendment) badala ya kuandika upya Katiba nzima...
Viongozi wanapo kuwa WANYENYEKEVU na WATENDA HAKI ndani ya Nchi hakika taifa hubarikiwa kwa kila "sector"
Ni mda mwafakaTaifa letu linapaswa sasa kuliunganisha kuwa taifa lenye watu wanao pendana...
Habari za asubuhi wana JamiiForums
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kubadilika kwa kutambua kwamba Ajira ndiyo nguzo ya Maisha hasa ukiwa sekta binafsi hata Serikalini huku akiongoza "sekta binafsi ukizubaa nafasi yako...
Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda 'kumponda' mtanzania Pierre Gumbo almaarufu kama Konki Liquid Fire, mengi yametokea. Wengi wamekosoa na kukemea kitendo cha Makonda kumwita Pierre...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili.
Ndugai ambaye amekuwa katika nafasi hiyo...
Wakuu tunaomba radhi sana kwa habari zetu za Mahakamani kuwa nyingi labda kwa kiasi cha kufunika UAPISHO WA MAWAZIRI , hata hivyo kuzikalia habari kama hizi ni kutowatendea haki , kuna msemo wa...
Mheshimiwa Ndugai ameaga rasmi Leo kwenye Ibada ya asubuhi katika Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Mikaeli, Kongwa mjini.
Alitoa kauli hiyo mbele ya Madhabahu ya Kanisa baada ya kuombwa na...
Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan anawaapisha mawaziri muda huu.
Wanaoapishwa leo Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma ni pamoja na Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya, Makatibu na Naibu Makatibu Wakuu...
Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa ya vifo vya watu kumi na nne (14), baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa katika msafara wa...
1- Spika wa kwanza wa Bunge la Tanzania huru, Adam Sapi Mkwawa, aliyeongoza kwa takribani miongo mitatu - alikuwa na sifa kubwa mbili; kwanza alikuwa Chifu mwenye heshima kubwa kutoka katika...
Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka,kula njama na kujipatia fedha kwa njia ya manufaa kiasi cha shilingi Bilioni 5.3 inayowakabili watu saba wakiwemo vigogo wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa...
Jana Mama Samia amesikika akisema mara baada ya kuapishwa kule bungeni kuna wabunge walikuwa wakisema serikali yake ni serikali ya mpito.
Mama Samia anasema aliingia kusoma katiba ili aone...
Hii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano.
Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhifadhi William Simon Mwakilema kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
Kabla ya uteuzi, Mwakilema alikuwa Naibu Kamishna wa...
"Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye...