Sifa kubwa kama unataka kuwa kiongozi kupitia CCM ni kuwa mnafiki, wala siyo elimu. Hata ukisoma, hiyo elimu hutaweza kuitumia popote ndani ya mifumo ya Serikali au chama, inayodhibitiwa na chama...
Poleni wote mliopatwa na msiba baada ya ajali iliyosababisha vifo vya wanahabari kadhaa huko Mwanza.
Pili nichukue fursa Hii kumwombea msamaha Mhe. Nape Kwa kuteleza wakati anatoa salamu za...
Kwenu makamanda watukuka mnaoyaweka matumaini yetu ya kesho bora kuendelea kuwa hai.
Kwa mara nyingine, pamoja na kutotegemea dodo kwenye mnazi, wale tutakaoweza tukutane mahakamani "Law School...
Mh.Rais,
Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT...
Nakumbuka wakati wa serikali ya awamu ya pili ya JMT Zanzibar iliomba kuwa mwanachama wa Jumuiya ya nchi za kiislamu lakini Jumuiya hiyo ikaikatalia.
Je, ni kwanini ilikataliwa?
Naomba...
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali...
Ile dhana ya ccm ni chama cha wakulima na wafanyakazi ,na ya kwamba ni taasisi ruksa kwa mtanzania yoyote kujiunga na kugombea nafasi ya uongozi imetoweka na Nyerere.
Ili taka kurudi kwa hayati...
Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili...
Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa...
Kuna mambo yanayofanyika ni kama yanakinzana, kuna decisions ukiziona au kauli ukizisikia unaweza kudhani labda mtu huyu anataka achukiwe au anashauriwa vibaya (anatengeza image mbovu kwa wapiga...
Kufuatia maelezo ya OCD wa eneo husika, ajali iliyoua wanahabari na wananchi huko Mwana ilisababishwa na gari ya serikali iliyohama kutoka upande wake na kwenda kuiparamia hiace na kusababisha...
Msemaji Mkuu wa Serikali hata wa Ikulu enzi zile alikuwa na utaratibu mzuri wa kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya Tano na awamu hii ya sita.
Huyu si mwingine ni Gerson Msigwa, sambamba na...
Inafahamika kuwa kwa itifaki mkuu wa dola la Tanzania ndie huwa anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka kwenye sherehe za kitaifa kama Mapinduzi ya Zanzibar au uhuru.
Sasa leo Mbona rais wa...
Hawa Ma PhD holders/ Ma Prof wangebakizwa Vyuoni. Wangelipwa vizuri huko na wangetumika kama wataalamu. Wangeweza kuandika mapendekezo mbalimbali ya kitaalamu na Serikali ikawa na utaratibu wa...
Kwa wale wanaojua kutafsiri picha na kuitolea maelezo picha hii inasema mengi hapa unaweza kutengeneza hata kajitabu kadogo....
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 10/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani.
Picha: Baadhi ya watu...
Kitendo cha viongozi waliokaa jukwaa kuu kujikinga jua kwa kutumia magazeti na vitabu hasa eneo walilokaa Mzee Jakaya Kikwete, Karume na Waziri Mkuu Majaliwa si kitendo cha heshima na kiungwana...
Tanzania ni mali ya Watanzania wote,wenye itikadi ya vyama vya kisiasa na wasio na vyama pia.
CCM imejijengea imani kuwa ina hati miliki ya Tanzania,ndo maana mambo yanakwenda kama mnavyoona...
Kuna msemo unasema CCM ina wenyewe, hao wenyewe ni akina nani?
Kila kikundi/chama kina waanzilishi wake ambao ndio huwa Na sauti Na heshima kubwa mbele au nyuma ya pazia. Sauti Na heshima hizo...