ingine hiiHizi picha za October 2020 kutokea huko Zanzibar zinaongea mengi.
View attachment 2078053
Hii ilikuwa balaaHizi picha za October 2020 kutokea huko Zanzibar wakati wa uchaguzi mkuu zinaongea mengi.
View attachment 2078053
Sioni bendera ya JMT milingotini, kwa busara ya kawaida inaonyesha ilipaswa pia kuwapo hapo na kuning'inia sambamba na hizo nyingine mbili zilizopo kwa milingoti..Kwa wale wanaojua kutafsiri picha na kuitolea maelezo picha hii inasema mengi hapa unaweza kutengeneza hata kajitabu kadogo....
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]View attachment 2078022