Rais Samia anajua akikopa asilimia 21 ya mkopo unaenda Zanzibar. Watanganyika wamelala usingizi

sambulugu

JF-Expert Member
Jun 1, 2021
3,932
7,276
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!

Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!

Kwenye ajira pia hakuna uwiano juzi hapa wametangaza ajira bila shaka TRA asilimia 20 wanapewa Wazanzibar! Je hapo **** uwiano Sawa?

Viongozi wetu watanganyika mpo tu kwa vile mnataka madaraka kila kitu ndio mwalimu!
 
Hii inawezekana ndio sababu ya serikali ya Samia kukopa mfululizo kila siku, anafanya hivyo ili ndugu zake wazanzibari wapate mgao wao akijua kwasababu ya udogo wao watapiga hatua upesi zaidi ya bara.

Samia mjanja sana, anawatengenezea "madili" wazanzibari kwa mgongo wa bara ndio maana anakuwa mkali kujibu hoja kama hizi, anaishia kuwasuta watu huku wabara wenyewe tukimshangilia ikulu - mental slavery.
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Inakopa serikali ya JMT na wanufaika wanakuwa ni wananchi wa Tanzania Bara na Visiwani. Hali Kadhalika mlipaji atakuwa ni serikali hii hii ya JMT kupitia katika kodi na maduhuli mengine yaingiziayo serikali hii fedha.
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Natamani kuiona Zanzibar ikigeuka Dubai ya Afrika.

Acheni shobo
 
Inakopa Tanzania, Zanzibar inapata mgao,je Deni linalipwaje?Walipa kodi wote wa Tanzania watalipa au wanaachiwa wa Tanganyika peke yao?
Wazanzibar kama nchi hatuna huo muda wa kulipa hiyo mikopo, mikopo inalipwa na watanzania kupitia kodi zao, ambapo huenda 98% ni watanganyika.

Zanzibar hatukuomba hiyo mikopo, huo mgao ni sehemu tu ya kujipendekeza kwa serikali ya Tanzania kwa wazanzibar.
 
Wewe umeongea point.

Na nawashauri Wazenji waendelee kulikamua kubwa Jinga Tanganyika mpaka litie akili.

Nyie endeleeni kuchukua mkopo wa Matrilion kisha atakayelipa percent kubwa ya mkopo huo basically ni mijinga ya Tanganyika
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Kama katiba inasema Zanzibar inatakiwa ipate 21% ya mkopo basi wapewe tuu hakuna namna, huu ndiyo muungano wazee wetu walikubaliana na viongozi wote waliopita waliapa kuulinda.
Hebu niambie mtoa mada hivi hili unalijua leo baada ya rais wa sasa kutoka visiwani? Rais hana namna zaidi ya kufuata katiba ya muungano,
 
Wazanzibar kama nchi hatuna huo muda wa kulipa hiyo mikopo, mikopo inalipwa na watanzania kupitia kodi zao, ambapo huenda 98% ni watanganyika.

Zanzibar hatukuomba hiyo mikopo, huo mgao ni sehemu tu ya kujipendekeza kwa serikali ya Tanzania kwa wazanzibar.
Duuh kumbe?! nilikuwa sijui!
 
Mazezeta ni sisi Tanganyika

Kuna waziri mmoja zezeta wa Tanganyika kaambiwa tangaza 21% ya ajira zipelekwe Zanzibar na ye katangaza
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Iliyokopa ni Jamhuru ya Muungano. Siyo Tanganyika.

Mmeinyonya zanzibar kwa muda wa miaka mingi sana.
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Acha waitumie hiyo fursa hadi akili iwarudi na kuvunja muungano watakuwa washafaidi
 
Hata hii trillion 7 wanayopigia kelele zanzibar itapata trillion 1.3 kwa hiyo yenye faida ni zanzibar ila watanganyika faida ni ndogo ukilinganisha na eneo na idadi ya watu!
Rais kwa kuwa ni Mzanzibar anatumia ho mwanya ila kwa vile watanganyika hatuwezi kuhoji na ukihoji unasakamwa kama Ndugai!

The level of reasoning is very low! Ni mda wa wazanzibar kutumia kivuli ya Watanganyika kujimemesha!
Muhimu ni deni liwe separated,kiasi kitakachokwenda zanzabar kijulikane ili kila upande uwajibike katika ulipaji wa deni Kwa kiasi ilichochukua,na sio deni loote liangukie upande mmoja wa jina la MKOPAJI itakuwa ni dhambi.
 
Zanzibar hata kulipa umeme wa TANESCO hawawezi sembuse mkopo huo wa mabilioni?

Hapo atakayetoboka kulipa huo mkopo ni mibwege ya Tanganyika
 
C mnajifanya Tanganyika wajanja sasa imefka wakati mtajua hamjui

Back
Top Bottom