CCM: Waliochukua fomu za kuomba nafasi ya Spika wa bunge la JMT ni 30 hadi sasa, achaneni na taarifa potofu za mitandaoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,614
141,439
Msemaji wa CCM makao makuu Dodoma amesema idadi ya waliochukua fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT imefikia 30 kufikia leo saa 10.00 jioni.

Amesema fomu zinatolewa katika vituo vitatu tu vya Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar na kwamba taarifa za kila siku zinatolewa ofisi kuu ya Dodoma na siyo mitandaoni.

Source: ITV habari
 
Msemaji wa CCM makao makuu Dodoma amesema idadi ya waliochukua fomu za kugombea nafasi ya Spika wa bunge la JMT imefikia 30 kufikia leo saa 10.00 jioni.

Amesema fomu zinatolewa katika vituo vitatu tu vya Dodoma, Dar es salaam na Zanzibar na kwamba taarifa za kila siku zinatolewa ofisi kuu ya Dodoma na siyo mitandaoni.

Source: ITV habari
 
Mleta taarifa tuwekee majina hapa vinginevyo unawadanganya wadanganyika, umeweka chanzo Cha taarifa msomaji nahitaji kujiridhisha je naweza au umeleta taarifa isiyokamili?
 
Naenda na Chenge Joka la MakengezA
Hata kama utaenda na joka kipofu ni wewe tu, ila bado tungalimo na mambo yenu ya kijani na makorokocho yenu, dai la wananchi la msingi ni katiba mpya ya wanainchi na sio Ile ya kuchakachuliwa ya wanaccm, ila Ile ya jaji warioba🏃.
 
Back
Top Bottom