Habar wana jamvi,
Kichwa cha habari chahusika kutokana na yaliyotokea mjini Dodoma na kupelekea makundi tofauti tofauti kufanya ushawishi ili mtu wao azibe nafasi ya Spika.
Nadhani si dhambi na...
1. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa Chalinze
2. Mchengelwa Mbunge wa Rufiji
3. Jafo Mbunge wa Kisarawe
4. Kipanga Mbunge wa Mafia
5. Juma Ulega Mbunge wa Mkuranga
Je, upi mchango wa mkoa wa Pwani...
Tunaofuatilia utendaji wa mama kulinganisha na mtangulizi wake tulimsikia mama kwa mbwembwe huku akionesha ukali akitangaza kumtimua mwenyekiti wa bodi wa bandari na kuamuru bodi yake ivunjwe. Pia...
Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika.
Kuna mwingine Kwanza ana...
Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri.
Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu.
Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria...
Kuna vitu viwili vimenishutua leo kutoka kwenye kichwa Cha Rais Mwinyi.
Cha kwanza ni kusherekea 58yrs of independence Bado Zanzibari Haina mzanzibari mzawa au hata serikali Haina uwezo wa...
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure.
Hayo yamebainishwa na...
Hii ni mala ya pili jana kumdunda mtumishi hapa kijiji cha manchali,wiki chache zilizopita ulimfanyia hivyo mwalimu mkuu wa shule ya msingi chinangali 2 hukuridhika ukamshusha na cheo
Je umewahi...
Igweeeee
Aisee ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni hivyo ndivyo waswahili hunena!
Pia nachelea kusema hapa Tanzania tunaupinzani usiokuwa na hoja wala ajenda zao wenyewe, zaidi wao ni kuunga...
===
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Nec Itikadi na Uenezi CCM-Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka ametoa ratiba ya kumpata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi atakayepeperusha bendera kwenye Uchaguzi wa...
Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna...
Sikukubaliana na JPM kwenye mambo mengi ikiwemo Udikteta, Uonevu na Mradi wa Ndege
Lakini namuunga mkono sana kwenye mradi wa Stieglers na SGR
Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Taarifa hii ya Gazeti la...
#DARESSALAAM :- NUKUU ZA RAIS SAMIA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA RELI MAKUTOPORA - TABORA
Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini ujenzi wa reli ya kisasi (SGR) kutoka...
Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama...
Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu
Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya...
Katika vitu vinaumiza ni mtu kudai malimbikizo yake ya kazi aliyoitolea jasho halafu Fomu zinajazwa hapo wizarani unazikuta zinazagaa mpaka zinapigwa mateke kwa kukosa utaratibu mzuri
Ukiingia...
Bwana Job kajitoa kwenye kiti cha usipka ila bado ataendelea kuifanyia kazi nchi katika nyanja mtambuko kwani yeye ni wa serikali. Kujiuzulu sio upunguani ama udunifu bali wakati mwingine...
Hili wala hatutaki kukificha kwa sababu kila siku tukiwakumbuka ndugu zetu hawa tunabubujikwa machozi yaliyojaa maumivu makali na huenda hata damu hutokea kwenye machozi haya. Tunajua waliohusika...
Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu...