Kulingana na maamuzi ya hivi karibuni ya Rais Samia kuwaondoa baadhi ya Mawaziri watenda kazi kama Lukuvi na wengine na kuingiza watu wake, tayari hii in kuwa Rais Samia yuko chini ya State...
Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.
wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.
Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki...
Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa.
Moja ya watendaji ambao naona...
Nimemsikiliza Bwana Ndugai kwenye video hii juu ya Ufafanuzi wa Bandari ya Bagamoyo akisisitiza kwamba Rais Magufuli alidanganywa, nikagundua kwa nguvu Spika wa Bunge aliyonayo lakin alishindwa...
Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time".
Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye...
Kumekucha.
Makamu wa Rais Dkt Phillip Mpango leo amefanya ziara ya kushtukiza kukagua shughuli za usafi jijini Dodoma.
Katika ziara hiyo iliyohusisha ukaguzi wa usafi kwenye masoko, Dr Mpango...
tusipeleke mambo kienyeji na kuharibu mifumo iliyo kuwepo itatugharibu baadae kuirudisha pale itakapo bainika inaharibu utaratibu
waziri TAMISEMI nikuombe sana mifumo ya shule iliyopo ilisha...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ameitaka tume ya ushindani FCC kutoa ripoti kwa Serikali ikieleza kwanini Vinywaji baridi na Vifaa vya ujenzi vimepanda bei.
Waziri ametoa siku 3 kwa...
Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam Jumanne Shauri amesema katika jiji lake kwa sasa darasa moja wanakaa wanafunzi kati ya 35 hadi 40 ndio maximum. Shauri amesema katika awamu iliyopita darasa...
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa nishati Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wabaishwaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanapigania vitalu vya gesi...
Hii ishu siyo ya kidemokrasia kabisa. Kwanza inamnyima haki ya kidemokarisia mwananchi mpaka alazimike kuwa kwenye haya magenge ya siasa.
Pia inawanyima wananchi kuchagua wampendae, badala yake...
Wadau, amani iwe kwenu.
Jina Apson Mwang'onda si geni kwenye mitandao ya kijamii. Umaarufu wake haukutokana na utendaji kazi wake akiwa kwenye idara nyeti hapa nchini, la hasha. Umaarufu wake...
Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe inaendelea.
Kufahamu ilipoishia, soma hapa: Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na...
SIRI kati ya Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete na Harbinder Singh Sethi (Singasinga), aliyekwapua mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, zimeanza kuvuja.
Mabilioni ya shilingi...
Serikali ya Uturuki ipo vitani kuwasaka wanaodhaniwa kufadhili mapinduzi miaka kadhaa iliyopita. Upo mgogoro mkubwa huko Uturuki na inatamani kuua nguvu za kiuchumi za maasimu wao ambao baadhi ni...
Ninakumbuka Waziri Angela Kairuki alivyopewa tu Wizara hii basi huyo akachikichia shimoni kutoka siasani. Wizara hii wakati huo ikiwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mara baada ya Kairuki...
Wafanyabiashara Soko la Karume wamekosa mtetezi, hakuna Diwani, Mbunge Wala kiaongozi wa kisiasa aliyefika kuzungumza nao kutokana na janga la moto.
Kibaya Soko lipo opposite na ofisi ya Mkuu wa...
DC JOKATE MWEGELO AWEKA MKAKATI WA KUBORESHA ELIMU NA UFAULU WILAYANI TEMEKE
Leo hii Mkuu wa Wilaya Mh. Jokate Mwegelo amefanya kikao maalumu cha wataalamu wa elimu wakiwamo viongozi na kutoka...