Tuweni makini huko kwenye shughuli zetu, kuna watu wanakofia mbili ni ngumu kuwatambua

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni sehemu ya wale jamaa zetu?

FC9F8A2D-96B0-48B9-9F2A-3E8C47798FAF.jpeg


7B76257B-7AFD-4AAB-A3BA-7F870D074A4F.jpeg
 
Sawa tena huwa wanekuwa wajinga sana usipomtazama vizuri. Awamu ya tano ilipeleka mamia ya hawa jamaa sehemu mbalimbali. Utagundua tu kwamba ni wanyenyekevu na hawapendi mabishano.

Wale wenye uongozi mkubwa hata hivyo huwa kama hawavipendi hata ukimtengua Leo au umteue wao poa tu. Ni vizuri kukaa nao vema maana hawana tatizo lolote kama hujamfanyia ujinga ni wajuaji mno wa mambo mengi sana.

Yaani huwa multisectoral
 
Ko ameamua kuchoma soko ili wajenge soko lingine, si wangewambia tu wafanyabiashara wahame kwa muda
 
Huyu jamaa amenikumbusha mshkaji mmoja alikuwa anauza cd pale ubungo dalajani alikuwa wenzie wakija kukamatwa kipindi yeye anakuwa na info zote anakuwa pembeni polis wakiondoka utamuona anaweka meza yake na CD zake halafu alikuwa na laptop sasa Cha ajabu aliondoka ghafla siku nakuja kumuona sehemu enzi ya Magufuli nilishtuka Sana Mana sikudhania kama anaweza kuwa yule dogo ila ulikuwa ukikaa naye ana story huyo Yani anaweza kuweka Kundi la vijana hata 20 mnasikiliza story yake mpaka Saa sita Usiku
 
Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni sehemu ya wale jamaa zetu...
Halaf yeye kama anafahamu kuna hilo banda linawashaga mishumaa kwanini hakuchukua hatua, na tena yeye mlinzi😎
 
Ni jamaa ameamua kujitafutia umaarufu kwa style hio.... au wanamtumia ili kuhamisha mjadala

Mlinzi unasema kabisa watu wanatengeneza mihadarati,, na siku zote unawaona, na hukuwai toa taarifa popote... Hovyo kabisa
 
Huyu jamaa ni nani na yupo kwa maslahi ya nani? Tukio la kuungua moto soko la Kariakoo alikuwa ni machinga, tukio la kuungua moto Karume yeye ni Mlinzi?na anapata attention ya media. Je huyu ni sehemu ya wale jamaa zetu?

View attachment 2086725

View attachment 2086726
Huwa yapo tu kama mazombie! alikuwepo mmoja alikuwa hana shule yoyote akaajiriwa kama stoo kipa wa halmashauri! ni mjanja kila wakati yuko karibu na wataalam wanafanya kazi kwa niaba yake hata kwa hongo.

ALiiba mabati ya shule akafukuzwa akakimbia akaibukia wilaya ingine kama principal planning and control officer! akajiweka karibu na vijana wasomi hadi kipindi cha operation vihiyo! akakimbia na familia atakuwa pengine akifanya kazi nyingine!
 
Back
Top Bottom