Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini. Hivi karibu Serikali...
16 Reactions
91 Replies
7K Views
Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika. Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni...
16 Reactions
99 Replies
9K Views
1. Matambiko ya Kimila 2. Uchawi / Ushirikina 3. Utani wa Makabila MATAMBIKO YA KIMILA Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka ) Kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na...
1 Reactions
64 Replies
5K Views
Salamu Kwa mara ya kwanza tangia kuumbwa misingi ya dunia na kuwa na utawala Tanzania yetu haijawahi kuwa na Rais ambae ni jinsia ya kike Mheshimiwa Rais na amiri Jeshi mkuu Mama Samia Suluhu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nawashangaa sana watu wanaohusisha Uchifu na ukabila katika zama hizi za utandawazi Kwa mfano mh Tundu Lisu wa Chadema wakati wa kampeni za urais 2020 alisimikwa kuwa Chifu wa Chato japokuwa yeye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwema wakuu? Miaka iliyopita mshahara ukitoka tu Maza alikuwa ananiambia nikamtolee fedha yote nitakayoikuta kwenye akaunti yake pindi tu mshahara unapoingia. Nikifika tu NMB nakutana na foleni...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Imefika wakati sasa kuwe na sheria zitakazoiwajibisha serikali inapodaiwa na wananchi au mashirika binafsi na makampuni binafsi kwani viongozi wengi hasa wakurugenzi wa halmashauri (maDED) na...
1 Reactions
4 Replies
839 Views
Sijawai wasikia kina Hashim Rungwe, Dovutha, kina Zitto, Lipumba, Cheyo na Mrema wakipitia kama aliyoyapitia Mbowe. Hao viongozi wa vyama pinzani hawajawai filisiwa Kama Mbowe, hawajawai vunjiwa...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Keki ya birthday yake imeliwa leo Mahakamani , ambako mmoja wa waasisi wake ambaye ndio Mwenyekiti wa sasa wa chama hicho amebambikwa kesi ya uongo ya Ugaidi , baada ya wakubwa kuhofia kung'olewa...
16 Reactions
69 Replies
4K Views
Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Nawapongeza wachaga, waarusha, wairaq, wambulu, waMeru na Wamasai kwa kukataa kutawaliwa. Hawa watu toka enzi ya mkoloni walimkataa mkoloni kwa vitendo, mkoloni alipobaini ni vigumu...
20 Reactions
37 Replies
3K Views
Waungwana salaam, Najua kuna watu watasema ni mapema mno, lakini kiuhalisia miaka minne siyo mingi ukitahamaki tu uchaguzi huo. Ninapendekeza Mama Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Rais aliyepo...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti...
12 Reactions
45 Replies
3K Views
Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu...
46 Reactions
88 Replies
7K Views
Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang. Viongozi wanaoshikiliwa ni...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau habari za mchana huu., Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Akihutubia kwenye Tamasha la Utamaduni Kilimanjaro amependekeza yawepo matamasha mengi nchini na akatoa mfano wa Brazil, ni vizuri angeangalia historia ya matamasha hayo ambayo hayahusiani kabisa...
3 Reactions
2 Replies
659 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…