Ndugu Kenani Kihongosi (Katibu Mkuu UVCCM) amuwakilisha Ndugu Daniel Chongolo (Katibu Mkuu CCM) Msiba wa Mke wa RC Morogoro, Mhe Martine Shigela.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa...
Hii nchi tunafanyiwa uhuni mbele ya kadamnasi, viongozi wanalumbana kupokezana madaraka nasisi wananchi Tupo kimya tu yaani, hii mifisiemu imegeuza wananchi misukule kesho wanaongea hili kesho...
Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila...
Salaam wakuu,
Moja wapo ya Initiatives za awamu ya tano katika kuboresha maisha ya watu wake ilikuwa ni kuwatambua na kuwaruhusu wafanyabiashara wadogo qadogo, jambo hilo lilifanikiwa kwa...
Kamati ya Maadili ya TCRA imesema Kituo cha Star Tv kimeonesha uzembe na udhaifu katika kusimamia kipindi cha EFATHA Ministries ambacho hurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja, kwa kuruhusu...
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya...
Hizi ndio hesabu walizopiga magwiji wa makadirio wa serikali ya Tanzania kwa hii machinjio ya Kisasa iliyojengwa huko Ujijiji Mkoani Kigoma.
Taarifa zinaonyesha kwamba hata hizo mil 200 za ujenzi...
Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa...
TUISHIE TU KWENYE KUANDIKA HUKUMU AU TWENDE MBALI ZAIDI?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Mh Rais alimpongeza Jaji wa Mahakama kanda ya Msoma ambaye aliandika hukumu kwa lugha ya Kiswahili. Mh...
Waziri Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Amesema hospitali za kanda, rufani, mikoa na wilaya huwa wanawahamisha...
Umeshawahi kusoma magezi?
Zile "front page zote" zinalipiwa na wenye mfumo kupeperusha wanayotaka yaonekane na tunaochangia utajiri wa mfumo.
Zile habari za tv zote zinalipiwa na wenye mfumo...
Kwa nia njema naikosoa serikali pale ambapo naona imekosea, lengo ni kujisahihisha wakati mwingine.
Hapakufanyika upembuzi mzuri wa wapi na wapi madarasa yajengwe. Ukweli mchungu ni kuwa...
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.
Jaribu kutimiza...
Hii ni Taarifa iliyotolewa na Jumanne Murilo ambaye ni Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam .
Kamanda ameagiza Polisi kumtafuta popote alipo na kumleta kanda maalum kwa mahojiano , kwa...
Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na...
Siku ya kuwaapisha ma-Katibu Wakuu wa Mikoa siku ya tarehe 2 June 2021 Ikulu ya Chamwino Mh. Rais alitamka kwamba atashangaa Mtumishi wa Umma kumuona anakata Rufaa kwake kama Rais pale inapotokea...
Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari...
Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki.
Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa...
Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi...
Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia
Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi...