Rais Samia ikumbushe Mahakama kuanza kuandika hukumu kwa Kiswahili

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,826
21,436
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.

Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania.

Pia soma
 
Ukivaa suti mpya wakati hujaoga kwa wiki nzima haimaanishi wewe ni nadhifu.
 
Nangoja itakavyowekwa ile dhana pendwa ya ^nolle prosequi^! But, tunapaswa kuhakikisha kila mchakato wa sheria na hatua za mahakama unafanyika kwa lugha ya Kiswahili.
 
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.

Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania.
Vitu vingine tusidanganyane banaaa kuna misamiati ya kisheria ni changamoto kuandika kwa kiswahiliii
 
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.

Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania.
Hivi hii top down mentality itaisha lini??
Ina maana mtu akiwa rais yote afanye yeye??

NB: Kwa kuwa hata kule mahakamani mawakili wanamtegemea jaji ndo arekodi proceedings za kesi sioni kama hili wazo lako litafanyiwa kazi kwa haraka!! Wapo kujilinda zaidi.
Na lugha inawasaidia sana!
 
Hivi hii top down mentality itasaisha lini??
Ina maana mtu akiwa rais yote afanye yeye??

NB: Kwa kuwa hata kule mahakamani mawakili wanamtegemea jaji ndo arekodi proceedings za kesi sioni kama hili wazo lako litafanyiwa kazi kwa haraka!! Wapo kujilinda zaidi.
Na lugha inawasaidia sana!
Nini kifanyike Ili amri ya JPM itekelezwe?
 
Yule kauzu alitakiwa aweke amri zake kwenye sera na sheria.
Si ajabu ameenda na yake!!

Cha kufanya! Turekebishe Katiba na mle ndani tukitambulishe Kiswahili kuwa lugha rasmi kwenye masuala rasmi nchini.
 
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.

Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania.
Tunatumia nguvu nyingi kuhalalisha Kiswahili kuwa lugha kubwa ingawa kiuhalisia ni ngumu sana.kinafaa zaidi katika kutuunganisha ndani ya nchi,lakini katika shughuli za kimataifa,bado sana
 
Back
Top Bottom