Hongera Fatuma Karume, Maria Sarungi na Ummy Mwalimu mmeuonesha uanamke wenu kwa Tanzania

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,014
8,368
Kabla sijapanda kitandani kumkumbatia Mama yenu usku wa leo tumekubaliana niwapongeze watajwa hapo juu sababu ni zifatazo.

Maria Sarungi nampongeza kwa kuanzisha mjadara mzuri kupitia space huko tweeter natambua vinyamkera vitanuna ila ni kupitia space hiyo mwanamke wa nguvu Fatuma Karume alitumia nafasi yake kumshauri Ummy mwalimu dhidi ya kufungua maduka ya dawa yaliyo karibu na hosptali.

Na kumtaka arejehe sheria zinasemaje zilizotungwa yeye akiwa Waziri?

Ummy Mwalimu kulipo kucha amebadili msimamo huo hakika kumbe wanake mkiiinkaa pamoja mnaweza kuendesha nchi.

Hongera kwa kusikiliza ushauri wa Ndugu Fatuma.
 
Back
Top Bottom