Mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA aliletwa na Mbowe. Duni ana Utu sana tofauti na makamanda wengine

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,781
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT.

Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja na mwenyekiti Freeman Mbowe na ndio sababu mara kwa mara huenda gerezani kumsalimia.

Lakini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu hajawahi kupanda ndege kuja kumuona Freeman Mbowe.

Zanzibar ni nchi kama ilivyo Ubelgiji.

Maendeleo hayana vyama!
 
Unataka kumuua Lissu?
 
ACT NI MBOGA YA MACCM
1643084139806.jpg
 
Nini lengo la ndani la ujumbe wako? Au Ni ile addiction uliyonayo kwamba lazima kila siku upost kitu?
Nawakumbusha kuwa Duni anaijua Chadema.

Duni anamjua Mbowe

Duni anaijua Jela.

Tofauti na mbwiga wengi waliojazana mitandaoni.

Lema ameikimbia Jela hakafu anamng'ang'aniza Mbowe abakie Jela, huo ni ujuha.
 
Kwenu Nyoote..!!
Amani ya Bwana iwe juu yenu.Maandiko matakatifu yanasema kila nafsi itaonja umauti.Sasa tujiulize ni kwa nini itaonja umauti na siyo itakufaa..??
TUMUOGOPENI MWENYEZIMUNGU.
 
Kilimkimbiza nini, hebu twambie maana najua alikuja kugombea urais, alipobwagwa chini akasepa kurudi Ubelgiji. Sasa wewe mwenzetu tuambie kilimkimbiza au alikimbizwa na nani
Ukimtakia mwenzako mabaya au ukifurahia mabaya yaliyotokea kwa mwenzako, hata wewe utakutana nayo. Zamani tulipokuwa wadogo tulikuwa tukifundishwa: 'usimcheke kilema/kiwete'. Kuna mama mmoja alikuwa akimcheka mtoto wa mama mwingine ambaye alizaliwa kichwa kikiwa kimepinda na alikuwa akitumia maneno 'kichwa kilichopinda'. Kama wanavyosema 'usimtukane mkunga wakati uzazi ungalipo' huyo mama aliyekuwa akimcheka yule mtoto aliyepinda kichwa naye alipata mimba na alipojifungua alipata mtoto ambaye pia kichwa kilikuwa kimepinda na equation ikawa imebalance. So, take care ukiwa bado hapa duniani anything can happen to you na kama utakuwa mtu wa kutafakari, huenda experience kama hiyo itakufanya ujitafiti kwa nini uliwahi kufurahia matatizo ya mwenzako.
 
Nawakumbusha kuwa Duni anaijua Chadema.

Duni anamjua Mbowe

Duni anaijua Jela.

Tofauti na mbwiga wengi waliojazana mitandaoni.

Lema ameikimbia Jela hakafu anamng'ang'aniza Mbowe abakie Jela, huo ni ujuha.
Lema ndio anamng'ang'aniza Mbowe abaki jela wakati yuko huru kutoka? Sio Duni peke yake anayemjua Mbowe, Chadema na jela. Msigwa, Sugu, Heche wote wamewahi kujaa jela ( sio rumande kama alivyokaa Duni) na wanamjua Mwenyekiti wao na chama chao kuliko Duni, lakini huwasikii wakisema aliyosema Duni.

Amandla...
 
Lema anaunyemelea ubunge wa Hai.

Anataka Mbowe akae Jela hadi 2026!
 
Kilimkimbiza nini, hebu twambie maana najua alikuja kugombea urais, alipobwagwa chini akasepa kurudi Ubelgiji. Sasa wewe mwenzetu tuambie kilimkimbiza au alikimbizwa na nani
Kwa hiyo unataka kusema hujui kuwa Magufuli na watu wake walikuwa wanataka kumkamata .... mpaka Germany, USA na Belgium wakaingilia kati na kumsafirisha kwenda nje ya nchi.
 
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT.

Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja na mwenyekiti Freeman Mbowe na ndio sababu mara kwa mara huenda gerezani kumsalimia.

Lakini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu hajawahi kupanda ndege kuja kumuona Freeman Mbowe.

Zanzibar ni nchi kama ilivyo Ubelgiji.

Maendeleo hayana vyama!
Yaani kama ANC wangekuwa na viongozi wa aina hii naamini mpaka leo Makaburu wangekuwa wanawatawala. Yaani anataka Mbowe acompromise ili awe nyumbani na Mkewe na watoto .... Seriously!!? Kiongozi hatakiwi kucompromise kirahisi rahisi hivyo.

Mandela alikaa gerezani miaka 27. Hivi Duni anafikiri Makaburu hawakutaka kumuachia kama angamua kucompromise na kwenda kujiishia maisha yake ya kawaida au kwenye kuishi na mkewe. Ukiwa kiongozi ni lazima pia usacrifice kama huwezi hilo basi wapishe wanaoweza. Mfano Lissu amesacrifice mpaka aponea kwenye tundu la sindano kuuawa lakini bado alikuja na kusimama jukwaani nchi nzima. Sidhani kama kuna wanasiasa wengi Tanzania wangeweza kufanya hivyo!!
 
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT.

Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja na mwenyekiti Freeman Mbowe na ndio sababu mara kwa mara huenda gerezani kumsalimia.

Lakini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu hajawahi kupanda ndege kuja kumuona Freeman Mbowe.

Zanzibar ni nchi kama ilivyo Ubelgiji.

Maendeleo hayana vyama!
Yaani mapenzi yako kwa CCM yatakuua!
 
Utakimbiaje uwanja vita? Maalim Seif alitegwa masumu mara ngapi mpaka kwenye microphone na misafara mbona hakukimbia Zanzibar? Umeona wapi mtu anayeishi ubeligiji lakini anafanya siasa tanzania? mpaka lini tutaongozwa na clips za youtube na twitter kwa chama tunachodai kina wanachama milioni 8???

Lissu alikimbia nchi kwa sms tu iliyoingia kwenye simu yake., how comes mtu huyu atakuwa kiongozi mkuu wa upinzani ili siku moja ashike dola ya nchi? Bobi Wine na Basigiye wa Uganda lini walikimbia nchi yao licha ya vitisho na mateso kadhaa?

Chadema wanasiasa za kishamba sana, mpaka leo Tundulissu anawaza mzungu ndiye atakayekuja kumkabidhi nchi wakati maalim seif alipigania siasa hizo miaka nenda miaka rudi ikashindikana akarudi kwa wananchi kuangalia upande mwengine wa kisiasa,

Mwenyekiti wa Chadema Taifa yuko ndani kwa ile kesi munaita ya kubambika., kwanini wanachama wenu milioni 8 hawatoki ata laki1 kuonyesha ukubwa wa chama chenu na nguvu yenu kisiasa? Juma Duni ameliona kweli hili kwa chadema Lissu kwa mwenyekiti wa Taifa alitakiwa aje na maamuzi ya liwalo na liwe arudi nchini kutafuta namna na wenzake ambao sasa walelala usingizi wa pono
Mtu cho kama wewe hata kukujibu ni kupoteza muda
 
Back
Top Bottom