Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili...
Uongozi wa serikali ya mtaa wa Jitegemee, kata ya Mabibo, wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam umewatangazia wananchi wa mtaa huo kulipa malipo ya 2500 kila tundu ya choo kwa ajili ya kupulizia dawa ya...
Mimi ni mwana CCM, Lakini kwanini tunabadili sheria kwa kuangalia manufaa ya wachache badala ya manufaa ya Taifa
Sheria inaweza kutumika kwa kurudi nyuma au kwenda mbele, mfano wa sheria...
Jana Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Mwanza, amemuambia Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusuph Masauni ajitafakari kwa mauaji yanayoendelea nchini.
Hadi Sasa waziri yupo kimya. Je yeye na IGP...
KWAKO F.A MBOWE
S.L.P GEREZANI
Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako.
Nianzi kwa kusema ..
Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika...
Basi bwana issue iko hivi,
Huyu Biswalo kipindi cha Magufuli alikuwaga ndo DPP. Mama Samia alipoingia akampandisha cheo akampa ujaji wa mahakama kuu….
Sasa bwana kumbe Mama yetu hapa kwa huyu...
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa...
Katibu wa uenezi wa CCM komredi Shaka amewasili mkoani Mara kuendelea na maandalizi ya sherehe za miaka 45 tangu kuzaliwa kwa CCM.
Naye kada wa CCM ambaye pia ni mkuu wa mkoa huo ameahidi...
[emoji117]Una pesa zako, Police ambao ndo wangekulinda wanageuka kuwa wauaji wako na kukupora Pesa zako.
[emoji117]Umeugua unakwenda Hosp, huduma ni mbovu na Dawa zote ni za kununua, kama huna...
Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya...
Kwenye hicho kitabu muandishi anaelezea jinsi inchi tajiri hutumia watu kuhujumu juhudi za kujikwamua kiuchumi za nchi maskini. walikuwa wanafanya hivi.
Hao watu(hitmen) wanakuja kwa nchi na kutoa...
Afrika kabla ya kutawaliwa tulikuwa na mila na desturi zetu. Wakati huo hatukuwa na dini kama vile uislam na ukrito lakini tulikuwa na njia zetu wenyewe za kuomba kitu fulani kitokee au kujiepusha...
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa...
Kwanza kabisa niipongeze Chama cha Mapinduzi kufanya sherehe yake ya miaka 45 Mkoani Mara katika Manispaa ya Musoma.
Najua kuwa rasilmali nyingi zimetumika lakini ni matumizi ya siku moja tu...
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba...
Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri...
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa...
Ni wazi wananchi wa pande zote za Muungano huu hawaridhiki na huu Muungano na ni wanasiasa ndio wanaoung'ang'ania kwa masilahi yao, hivyo ni swala la muda Muungano huu kuja kuvunjika au kuzua...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka uwanja wa Karume - Musoma mkoani Mara katika maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Kaulimbiu ya maadhimisho haya ni "CCM Imara...