Ufisadi wa kutisha, serikali ya Magufuli. Biswalo Mganga atajwa

mapessa

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
612
1,045
Basi bwana issue iko hivi,

Huyu Biswalo kipindi cha Magufuli alikuwaga ndo DPP. Mama Samia alipoingia akampandisha cheo akampa ujaji wa mahakama kuu….

Sasa bwana kumbe Mama yetu hapa kwa huyu jamaa hakuupiga mwingi, huyu jamaa ni fisadi na jambazi .

Mnakumbuka kuna kipindi serikali ya Magufuli kupitia huyu DPP Biswalo walianza ile kitu ya kuwasamehe watu wenye makosa ya jinai ya madeni au ufisadi kwa kuwaruhusu watoe pesa au mali then wanaachiwa? Sasa bwana huyu ex wake Resty, John Mnyaki alikuwa mmoja wa wafungwa waliopata nafasi hii.

Sasa huyu John katika mali zake alizokubali kuzitoa kwa serikali ili aachiwe ilikuwa ni ile nyumba ambayo walikuwa wamepangisha WASAFI. Ile nyumba ambayo @resty_cosmetics ndo aliwapangisha Wasafi. Sasa huyu John baada ya kutoka jela akaamua tu kufatilia mali zake ikiwemo ile nyumba aliyowapa serikali, akitaka kujua serikali wamemuuzia nani au wameifanyia nini. Ndio kutafuta contacts huku na kule. Sasa katika kufatilia huko wasafi si ndio akakuta nyumba haimilikiwi na serikali ila wasafi wanalipa kodi kwa mtu binafsi, si ndio kaka wa watu kufatilia wanamlipa nani kodi.

Weeeeeeeee, si ndio wakakuta anaepokea kodi ni mjomba yake na Biswalo bwana. Yeesss. Yaani badala ile nyumba waliokuwa wanakodi wasafi ichukuliwe na serikali nyumba ikachukuliwa na Biswalo kwa kutumia jina la mjomba yake. Yaani ownership ya nyumba sasa imeenda kwa mjomba wa Biswalo na kodi anapokea mjomba wa Biswalo. Kwa kifupi Biswalo badala zile mali walizotaifisha ziende serikalini zingine Biswalo akawa anajitunuku yeye mwenyewe.

Hapo nilipowekea star kwenye document ndio hiyo nyumba yenyewe sasa. Imagine this is one case ambayo tumeijua je ni mali ngapi kafanya hivi??

Aisee huyu Biswalo ni jambazi na nusu and to think sasa hivi kawa jaji mahakama kuuu, it’s very dangerous for the country.

Screenshot 2022-02-04 at 21.37.33.png

Screenshot 2022-02-04 at 21.37.55.png
 
Kila mtu anakula urefu wa kamba yake, mwambie mange kama upo karibu yake apunguzee shobo, nchii ajaanza ibiwa leo na wizi hautakaa uisheee
 
bahati mbaya kuna sheria meko alipitisha kwa makusudi kabisa mwaka 2019 kuwa DPP hawezi kushitakiwa .....

Kwani haiwezi kubadilishwa na Rais mwingine?

Sijui sheria hivyo ila kama Rais anaweza kujitungia tu mambo na ikawa sheria basi Rais mwingine anaweza akaibadili pia
 
Sheria haifanyi kaz kwa kurud nyuma. Ikishapita imepita
 
Basi bwana issue iko hivi,
Huyu Biswalo kipindi cha Magu alikuwaga ndo DPP. Mama Samia alipoingia akampandisha cheo akampa ujaji wa mahakama kuu….

Sasa bwana kumbe Mama yetu hapa kwa huyu jamaa hakuupiga mwingi, huyu jamaa ni fisadi na jambazi .

Mnakumbuka kuna kipindi serikali ya Magu kupitia huyu DPP Biswalo walianza ile kitu ya kuwasamehe watu wenye makosa ya jinai ya madeni au ufisadi kwa kuwaruhusu watoe pesa au mali then wanaachiwa? Sasa bwana huyu ex wake Resty, John Mnyaki alikuwa mmoja wa wafungwa waliopata nafasi hii.

Sasa huyu John katika mali zake alizokubali kuzitoa kwa serikali ili aachiwe ilikuwa ni ile nyumba ambayo walikuwa wamepangisha WASAFI. Ile nyumba ambayo @resty_cosmetics ndo aliwapangisha Wasafi. Sasa huyu John baada ya kutoka jela akaamua tu kufatilia mali zake ikiwemo ile nyumba aliyowapa serikali, akitaka kujua serikali wamemuuzia nani au wameifanyia nini. Ndo kutafuta contacts huku na kule. Sasa katika kufatilia huko wasafi si ndo akakuta nyumba haimilikiwi na serikali ila wasafi wanalipa kodi kwa mtu binafsi, si ndo kaka wa watu kufatilia wanamlipa nani kodi.

Weeeeeeeee, si ndo wakakuta anaepokea kodi ni mjomba yake na Biswalo bwana. Yeesss. Yani badala ile nyumba waliokuwa wanakodi wasafi ichukuliwe na serikali nyumba ikachukuliwa na Biswalo kwa kutumia jina la mjomba yake. Yani ownership ya nyumba sasa imeenda kwa mjomba wa Biswalo na kodi anapokea mjomba wa Biswalo. Kwa kifupi Biswalo badala zile mali walizotaifisha ziende serikalini zingine Biswalo akawa anajitunuku yeye mwenyewe.

Hapo nilipowekea star kwenye document ndo hiyo nyumba yenyewe sasa. Imagine this is one case ambayo tumeijua je ni mali ngapi kafanya hivi??

Aisee huyu Biswalo ni jambazi na nusu and to think sasa hivi kawa jaji mahakama kuuu, it’s very dangerous for the country.

View attachment 2108112
View attachment 2108113
Kumbe na huku upo??!
 
CCM NAMBARI ONE
 
Sheria ni halali pale tu inapolinda maslahi ya taifa au walio wengi na siyo kwa ajili ya kikundi fulani au mtu binafsi.

Hata hivyo, kuna umuhimu wa kuhakikisha kuwa hizi tuhuma ni za kweli au zina lengo la kumchafua aliyekuwa DPP .
 
Back
Top Bottom