Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,983
20,631
Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.

Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, Chadema ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema. Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya Siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua Kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Tatizo wewe nilinafiki . awamu ya tano ulikua unaipinga serikali ya Magu. We we either ni mdini au mkabila
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, Chadema ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema. Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya Siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua Kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Kweli nimeamini utafiti wa Twaweza kuwa CCM ina wanachama mamburula au ukipenda waite majuha.

Wakati Katibu mkuu wenu Bashiru Ally anasema CCM itatumia dola kubakia madarakani wewe juha ulikuwa unakenua meno tuu. Ila kuona Chadema wanachama wake wanalindwa ili msiwapige Risasi hovyo hovyo Kama mlivyo taka kuua Tundu Lissu unaweweseka
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, Chadema ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema. Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya Siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua Kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Hisia, Nchi hii Kwa dunia ya sasa,inahitaji chama kikuu cha upinzani kitakachotikisa chama tawala Kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi.

Kama Chadema Wana huo uthubutu wa kuwa chama kikuu,tuwatie moyo badala ya kuwatilia mashaka kutokana na hisia tu
 
Mbuyu ulianza kama mchicha, Chadema ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.

Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa Cha nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.

Sheria ya vyama vya Siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua Kali sana.

Kama nia hivyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini
Mmeshachelewa. Kama Komandoo mzima ambaye bado yupo Jeshini ana mawasiliano makubwa na mazuri kiasi hicho na Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani nini sasa kimebaki zaidi ya kuwakabidhi tu madaraka Chadema.

Mkiendelea kushupaza shingo kuna siku mtaona cha moto, Chadema ni zaidi ya mnavyokijua.

Jiulizeni, akina Lissu walijuaje kwamba Jiwe katuacha hata kabda wengine wote hadi Kassimu mwenyewe hakujua kinachoendelea.

Nyie endeeeni kuiudhi Chadema. Ipo imara ndani na nje ya nchi. Wakati wowote Chadema wanachukua nchi. Subirini
 
Back
Top Bottom