My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
[emoji117]Una pesa zako, Police ambao ndo wangekulinda wanageuka kuwa wauaji wako na kukupora Pesa zako.
[emoji117]Umeugua unakwenda Hosp, huduma ni mbovu na Dawa zote ni za kununua, kama huna Pesa kifo ndo kitakuwa Rafiki yako.
[emoji117]Unampigia kura Mbunge ili akatatue shida zako, badala yake anageuka na Kuanza kuisifia Serikali kwa kila kitu hata kwa mambo ya hovyo.
[emoji117]Kodi unalipa, lakini hakuna huduma Bora za Jamii, zaidi ya kusimangwa kwa kuitwa mvivu.
[emoji117]Ajira hakuna, mfumuko mkubwa mno wa Bei, kiongozi mkuu haongei lolote la kuchukua hatua zaidi ya kuwakumbusha watu kuwa yeye ni Rais mwenye jinsia flani, utadhani watu hawajui jinsia yake.
[emoji117] Wapinzani kuonekana maadui wakubwa wa Taifa kwa sababu tu ya kukosoa.
[emoji117] Serikali haijui Kati ya wajibu wake na maendeleo,kwa mfano, kujenga Barabara,madaraja,Shule na mahospitali siyo maendeleo,huo ni wajibu wa Serikali kwa wananchi wake,ni sawa na Baba kununua chakula nyumbani kwake na kisha akatangaza kwamba ni maendeleo wakati huo ni wajibu.
Maendeleo ni Serikali kutengeneza ajira nyingi kwa watu wake,na kuifanya Elimu iwe Bure kuanzia kindergarten hadi Chuo kikuu.
Na pia watu wote wasio na uwezo watibiwe Bure kabisa na Dawa zote ziwepo Hospital.
Na wazee,na vilema wote walipwe posho kila mwezi ili kupambana na ugumu wa maisha,hayo ndo maendeleo,kipi kinashindikana wakati watu tunalipa Kodi?
[emoji117] CCM inapenda umaskini kama Samaki anavyopenda maji ndo maana hakuna mabadiliko yoyote zaidi ya mateso kila kukicha.
Huhitaji kufikiria ili kubaini kuwa hakuna mahali popote Serikali inaonekana kuwa na msaada kwa watu wake.