kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,584
- 23,056
Rais wetu mpendwa mleta maendeleo mtetezi wa wanyonge,ombi letu kwenye matukio makubwa kama haya ya kitaifa Rais muondoeni mkuu wa mkoa kwenye ratiba
Aje yule kaimu japo sisi/mimi ni ccm na nategemea kuchukua kadi yangu wiki ijayo huwa tunapata hasira kila tukimuona na kukumbuka matukio na visa vyake.
Na wewe unavyomlinda yeye akipata nafasi hiyo huwananga wabaya wake na wewe mashetani hukupanda ukaropoka tu juu ya wabaya wako sababu ya kumuona mwanao mbele ya macho
Kama kuku alindavyo vifanga vyake mbele ya macho ya mwewe
Matokeo yake Rais habari ya kitaifa kama hii kubwa na ya kihistoria hukosa kiki front page si hao waandishi wamemchunia sasa wataandika nini na kila picha yupo ubavuni mwako!
Siku ya matukio abaki tu kufanya kazi nyingine yaani tulitamani kumrukia!
Aksante rais wetu msikivu aka truck driver!