Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefika nyumbani kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Wapo wanajaribu kumkosoa Rais Samia kwa jinsi anavyoiendesha nchi hata hivyo huyu Mama ni Rais Bora kuzidi utawala wa Magufuli. Hadi sasa kisha fanya yafuatayo amabayo enzi za magufuli watu...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
MAJALIWA : TARURA SIMAMIENI MIRADI KWA WELEDI NA UAMINIFU === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa TARURA wasimamie miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Takriban mwezi mmoja na zaidi kumekuwa na harakati mbali mbali kuhusu hifadhi ya Ngorongoro ama wahame au wabaki,huku kila upande ukijenga hoja yake Pia waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliwashauri...
3 Reactions
4 Replies
970 Views
Ndugu zangu watanzania, wakati tunaendelea kujadili siasa za nchi yetu ni vema tuangalie serikali zilizopita na ya sasa kwa kuangalia namna ambavyo kumekuwa na tofauti katika utendaji wake wa...
14 Reactions
44 Replies
4K Views
Naiona Zanzibar ikipata maendeleo makubwa sana kupitia serikali yao ya Umoja wa Kitaifa inayoundwa na CCM wakishirikiana na ACT wazalendo. Tatizo la Watanganyika maneno mengi matendo sifuri, ni...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Damas Ndumbaro ametoa kauli ya serikali kuhusiana na mgogoro wa Ngorongoro. Dr Ndumbaro amesema ardhi ni mali ya Umma wa watanzania siyo mali ya kabila fulani na...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na harakati za kupambana na Uvico 19. Turudi kwenye mada,kumekuwa na sintofahamu na kusita Kuhusu suala la kutolewa bure kwa huduma za matibabu nchini kwa kila mtanzania kuwa na bima ya...
2 Reactions
9 Replies
988 Views
Tumeona busara kuongeza thamani ya kile lilichopo kwa makundi ya vijana, wanawake na wenyewe ulemavu kupitia maelekezo ya utoaji wa fedha asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri ya ikungi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM Aerial...
5 Reactions
110 Replies
11K Views
Kufuatia sera nzuri za uwekezaji zilizoasisiwa na Rais wa awamu ya Sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Tayari makampuni mbalimbali yanamiminika kuwekeza Tanzania ikwemo Kampuni hii ya Nissan...
9 Reactions
96 Replies
10K Views
=== Ajira hizo Watanzania wenzangu, kidogo kidogo tu mtamwelewa na mtaelewa nia njema za mama yetu mnyenyekevu Mhe Samia Suluhu Hassan kwenye safari zake za nje, Dodoma, Tanzania. Naibu wa...
11 Reactions
70 Replies
5K Views
Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Sabiby, amemtaka Waziri wa fedha atafute pesa popote atakapozipata ili aongeze mishahara ya watumishi wa umma mara dufu, kama alivyoahidi Rais, Mh Samia Suluhu Hassan...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Job Ndugai alitoa sintofahamu yake kuhusu mkopo na tozo Kwa pamoja Kwa ajili ya utatuzi wa Jambo Hilo Hilo moja kinyume na mpango kazi wa awali, ambao ulibainisha tozo ndio zibebe huo mzigo...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Akiwa jijini Mbeya Rais Mstaafu wa JMT Jakaya Mrisho Kikwete aliulaumu uongozi wa Mkoa wa Mbeya kwa kutokuwa serious kwa kutoa eneo la ekari 50 juu Kwa ajiri ya kujenga Tawi la chuo kikuu cha Dsm...
15 Reactions
114 Replies
11K Views
Umejijengea heshima kubwa kimataifa baada ya kuyafungulia magazeti manne yaliyofungiwa enzi za Rais JPM. Magazeti hayo Ni Tanzania Daima, Mawio,Mwanahalisi na Mseto. Pamoja na hatua nzuri ya...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba maisha ya mjini yanategemea sana maisha ya watu wa vijijini, vijijini ndo kwenye lishe, utajiri na mali ghafi zote Muhimu kwa nchi nzima na hata nje ya nchi. : Lakini tatizo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…