Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari...
14 Reactions
128 Replies
11K Views
Ukimuangalia kwa udadisi hivi karibuni, anaonekana ni mtu mwenye mawazo mazito. Ni mtu ambaye anaonekana kukosa kujiamini na hata kukosa nuru kwenye uso wake. 1. Je haamini kinachoendelea ndani...
23 Reactions
135 Replies
10K Views
Hakuna mwana CCM yoyote anayezungumzia juu ya mradi wa JNHP au SGR kwa uchungu. SGR, Moro Dar imebakia story. JNHP ilikuwa ikamilike June 2022 lakini sidhani kama itakamilika maaana mgao wa umeme...
5 Reactions
4 Replies
921 Views
Taarifa kutoka Chadema zinadokeza kwamba malengo ya kupatikana kiasi cha sh mil 20 kwa ajili ya mchango wa matibabu ya mbunge wa zamani wa Mikumi kupitia chama hicho , yametimia na kupitiliza ...
16 Reactions
77 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT Kazi iendelee..... Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
Nakumbuka Makonda alivamia Clouds. Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake. Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake. Makonda akaendela kushika hatamu/patamu...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Biblia inasema " nitampiga mchungaji wa kondoo na kondoo wa kundi lake watatawanyika" Hii ndio inavikuta vyama vibaraka aina ya CUF, TLP na Nccr. Biblia pia inasema " mchungaji mwema wa kondoo...
5 Reactions
11 Replies
886 Views
"Mwanza ni Mkoa wa pili nchini kuchangia fedha nyingi katika pato la Taifa, mwaka 2019 makusanyo ya mapato yalikuwa Trilioni 10.2 na hivyo kuchangia Pato la Taifa kwa 7.35% na mwaka 2020 yalikuwa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni mzee Malecela pekee katika wale wakongwe wa CCM ambaye hana mtoto mbunge. Le mutuz aligombea ubunge wa Afrika Mashariki akafeli. Ipyana RIP naye hakufika mbali. Mwele tena mshumaa umezimika...
16 Reactions
137 Replies
19K Views
Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi...
15 Reactions
152 Replies
13K Views
Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika...
29 Reactions
117 Replies
12K Views
MAKOSA YANAYOFANYA WATU KUOZEA JELA NDIYO YALIYOACHWA KATIKA MABADILIKO YA SHERIA Na Bashir Yakub. WAKILI +255 714 047 241 Makosa ya Uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha, Ugaidi, Mauaji, ikiwa ni...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
KONGAMANO LA WAMACHINGA KITAIFA NA UZINDUZI WA MACHINGA SACCOS Shirikisho la Wamachinga (SHIUMA) Kwa kushirikiana na Machinga Mkoa wa Dar es salaam wanakukaribisha kushiriki (kufuatilia) Uzinduzi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nashauri wabunge wapitie hapo Ruaha mbugani watajifunza kitu muhimu sana. Miaka ya 1980s na 1990s kulikuwa na waburushi na wasomali waliojifanya kuishi mbugani kumbe walikuwa ndio majangili wa...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Dr Mwele alikuwa kipenzi cha watu. Hakuwahi kufanya siasa kwa muda mrefu, lakini uthubutu wake, hasa akiwa mwanamke msomi na mwanasayansi uliwagusa wengi. Kuna ambao hawakumpenda kwa sababu hizo...
16 Reactions
137 Replies
9K Views
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema baada ya serikali kuongea na wazalishaji wa vifaa tiba wamefanikiwa kupunguza bei ya kusafisha figo kwa wenye tatizo hilo kutoka tsh 400,000 hadi tsh...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali ilipanga kuongeza watumishi idara ya Elimu ili kuinua kiwango Cha Elimu nchini Mwezi October Ummy Mwalimu alisema serikali itaajiri walimu elfu 10, kabla ya...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
21 Reactions
130 Replies
15K Views
Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…