Habari Wakuu,
Leo 14/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Mawakili wa Serikali waliomba ahirisho la kesi hadi leo...
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga limeazimia kumfukuza kazi mfanyakazi mmoja wa halmashauri hiyo kwa kosa la utoro kazini huku likiwapeleka kwenye kamati ya maadili wafanyakazi...
Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022
Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya...
Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria
wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali?
Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo...
Mgogoro wa Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu wakazi wanaoishi ndani ya eneo hilo umekuwepo kwa miaka mingi, kwa muda wote huo hakuna utatuzi rasmi wa nini kinatakiwa kifanyike.
Juzikati baada ya bwana...
Wakuu Kuna blog moja ya Dar ili-tweet leo kwamba suala la Ngorongoro limeisha kumbe PM alikuwa Loliondo na sio Ngorongoro Ila ukweli ndio huo hapo na sio kama walivyo-ripoti.
TAARIFA KWA VYOMBO...
Utangulizi:
Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa...
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi...
Mbunge wa viti maalumu, Salome Makamba ameitaka Serikali itumie magari ya Washawasha kuwaondoa Wamasai huko Ngorongoro badala ya kuyatumia kudhibiti Wapinzani.
Makamba amesema yeye ni balozi wa...
Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana.
Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja...
APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu.
Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais...
Salaam Wakuu,
Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio...
Hali isiyokuwa ya kawaida Mbunge OLESENDEKA anagawa fedha kama njugu kwa wabunge lengo kuzima SAKATA linaloendelea kuhusu Hifadhi ya Ngorongoro.
Hatua ya Mhe. Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa...
Hatuingilii mwenendo wa Mahakama lakini kuna mambo yapo dhahiri ambayo, laiti kama Jaji angekuwa makini, Mawakili wa Serikali wasingekuwa wanaichezea Mahakama kama wanavyofanya.
Mathalani, leo...
Nimeona na kusikia kila aina ya udhalilishaji unaondelea sasa dhidi ya wamasai, hii sio sawa kabisa.
Huenda kweli wanapaswa kuondoka Ila kwa nini kunakua na huu udhalilishaji dhidi ya hawa watu...
Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga CHADEMA kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki.
Leo hii...
Maana ya maendeleo ni kwenda mbele na siyo kurudi nyuma.
Tunakwama wapi hadi kila kitu tuagize China?
Sekta binafsi ina mchango gani kwa taifa.
Kwa sasa ni maji ya kunywa tu na maziwa ndio...
My Take 1
Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi.
My Take 2
Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya...
Kwema Wakuu!
Mimi sina mengi ya kuzungumza.
Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na...