Mfumo wetu wa kuongoza nchi, ni mfumo wa kufikirika, ni mfumo wa kinadharia, ni mfumo wenye hadaa nyingi.
Siku zote anayekuajiri, anayekupa kazi, ndiye mkuu wako wa kazi, ni kiuhalisia katika...
Ukisikiiza hii video hasa hizo figure zinatajwa hapo utagundua J Makamba anahitaji atupe maelezo ya kueleweka kuhusu UMEME.
Lakini pia utagundua Hayati JPM tunamuonea sana, nimewaza tu hapa...
Mwanaharakati na Wakili msomi Ole Nguruma amesema hata kama itakuwa ni lazima kuwahamisha wamasai kutoka hifadhini basi wasipelekwe nje ya wilaya ya Ngorongoro.
Ole Nguruma amesema Ngorongoro ina...
Wakuu, Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosomeka, Kuna Jambo la kujiuliza , ikiwa washtakiwa wamekutwa na kesi ya kujibu, kwanini jaji wa case hii na Wakili wa Serikali wanaforce Wakili wa...
Waziri Mbarawa yuko sahihi Askari wa Traffic wanachangia ugumu kwenye sekta ya Usafirishaji
Alikuwa akiongelea kuhusu kupunguzwa kwa vituo vya mizani ili mizigo iwahi inakoenda alisema ni vizuri...
Na Mwal. Maziku, Singida
Makamanda salaam!
Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kitendo cha kiongozi wa CHADEMA Ndugu Lissu kutanguliza maombi binafsi kwa Rais ni usaliti...
ZIARA YA SEKRETARIETI YA CHAMA KWA MIKOA YA ZANZIBAR.
Leo tarehe 19/02/2022, Kaimu Naibu Katibu Zanzibar, Ndugu Salim Bimani ameongoza ujumbe wa Kamati ya Mashauriano ya Zanzibar ambayo ni...
Askari ma gereza wamemfuata FREEMAN Mbowe, anahitajika ofisini kwa Jaji katika kikao cha pamoja na mawakili wa pande zote (serikali na utetezi), Washtakiwa wengine watatu bado wamebakia...
Wanayopitia Mbowe na wenzake yanaweza kuelezewa na maneno haya ya machache ya Hayati Nelson Mandela.
Historia haijurudii, bali watu ndio hujirudia(Mandela amejirudia na safari hii ni hapa nchini...
Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim...
Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini...
Jamani,
TANESCO naomba nielewesheni Jana nimenunua umeme wa 200000 lakini nimekatwa vat 29500 Ewura 14000 Rea 4900 Swali ni kwann mimi mteja nikatwe pesa zote hizi wakati umeme nguzo nalipia...
Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja...
"Tutaendelea na mapambano ndani ya mahakama, Mwenyekiti Mbowe na wenzake licha ya kukutwa wana kesi ya kujibu, haimaanishi kuwa wamekutwa na hatia, kulingana na mashahidi waliopo wengine...
Wanabodi za asubuhi!
Tangu zamani sana nyakati zile za biblia Mungu aliwafunulia waja wake kuhusu hatma yao ya matukio ya mbeleni kwenye maisha kupitia watumishi wa mungu kama manabii na...
Habarini watu wa ukumbi huu..,
Vyanzo vya ndani vinasema hivyo, Tundu Lissu alikutana na Rais Samia kwa matakwa na maamuzi yake binafsi haikuwa ajenda ya chama wala hawakuwahi kukaa ata kwa...
Askofu Dkt. Bagonza ameeleza haya baada ya Rais Samia kukutana Tundu Lissu, naa baadaye Lissu kuongelea kile alichozungumza na Rais.
Lissu anaweza kuwa amekosea kwenda in detail ya mazungumzo na...
Mkutano wa Lissu na Rais ulikuwa na ajenda za msingi zinazo ligusa taifa. Ajenda za Chadema ambazo pia ni za kitaifa zimetolewa na kujadiliwa pande zote mbili kwa hoja. Chadema wame litendea haki...
Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini...