CCM tuendako

CCM tuendako

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Posts
250
Reaction score
409
CCM TUENDAKO!! MJIFOCUS KWENYE MAENDELEO YA WATU, ACHANENI NA VICHAA NA MAGAIDI-WANATAFUTA ANGLE YA KUTOKEA Naa Joseph #Yona

Nikiwa naandika kwenye magroup tofauti kuwa Tundu #Lissu ni kichaa, vijana wengi tulio mrengo mmoja wakaniambia nitulie, nikawaeleza naomba niendelee na kichaa halafu ninyi msiomjua mtanijoin mbeleni, wakaniona napoteza muda.

Rais #SAMIA akiwa njiani kuelekea Ubelgiji akakubali ombi la kukutana na Mlevi #LISSU aliyepoteza Passport Bar, vijana walewale wakanifuata inbox unaona tulikwambia tulia, nikawaambia mimi ngoja niendelee na kichaa #LISSU na Gaidi #Mbowe mtaungana na mimi mbeleni, wakaniona napoteza.

Bahati nzuri Rais #Samia akafanikiwa kuongea na #LISSU kama Brother and Sister kwa muda wa saa nzima, kabla jogoo hajawika Tundu #Lissu huyoooo #Space, eti haya ndiyo nimeongea na Rais na nimempa masharti haya na haya na afanye hivi na vile, yaani yeye #LISSU ametoa masharti kwa Rais na mwenyekiti wetu wa Chama AISEEE??!!!!, nikiwa natafakari kichaa huyu, vijana walewale walionao sifai wakanifuata inbox tuungane pamoja kupambana na vichaa na magaidi tena wao wakaja na kasi zaidi mpaka na michoro ya magaidi na kunipongeza.

Napenda niwaeleze ukweli, baada ya uchaguzi mkuu 2010 pale Dr #Slaa alivyochachafya na kupata kura nyingi na wabunge, CHADEMA wakajawa kibri, wakaanzisha harakati za kudai wanachokiita katiba mpya, kwa misingi kwamba wao hawahitaji Katiba Mpya ila kwenye mchakato wa katiba mpya waivuruge nchi kwa migomo kila hatua, yaani kila hatua zitengenezwe sanaa za kutokukubaliana na mchakato ili wananchi waone CCM haitaki katiba mpya wajawe na hasira.

Pia kuanzia mwaka 2012 pamoja na mchakato wa vurugu wa katiba mpya, CHADEMA walianzisha mchakato wa kuteka, Kutindikali, kung'oa kucha na meno watu maarufu ambao wanaipinga serikali ili ionekane ni serikali ya CCM ili wananchi wazidi kuichukua, Rais aachane na matapeli yatampotezea muda tuendako, afocus maendeleo ya watu wake ambao ameuanza vema mchakato na kwa kifupi anaupiga Mwingii kwenye maendeleo.
 
Inawezekana unayemwona kichaa sii kichaa ila unayefiliri unaona kichaa🤔,ushauri wa Bure ukipata waasaa na utakapo kumbuka wahi kwa daktari atakusaidia.
 
1645414721359.png

Mwanaume mwenzenu yamemkuta
 
Ni kawaida kwa kichaa kuwaita watu wengine v.ichaa. Mleta mada kupima afya ya akili mara kwa mara ni jambo zuri sana.

Ukichelewa kuchukua hatua stahiki hivi sasa, muda ujao itakuwa ni balaa zaidi.

"Better late than never"
 
CCM TUENDAKO!! MJIFOCUS KWENYE MAENDELEO YA WATU, ACHANENI NA VICHAA NA MAGAIDI-WANATAFUTA ANGLE YA KUTOKEA Naa Joseph #Yona

Nikiwa naandika kwenye magroup tofauti kuwa Tundu #Lissu ni kichaa, vijana wengi tulio mrengo mmoja wakaniambia nitulie, nikawaeleza naomba niendelee na kichaa halafu ninyi msiomjua mtanijoin mbeleni, wakaniona napoteza muda.

Rais #SAMIA akiwa njiani kuelekea Ubelgiji akakubali ombi la kukutana na Mlevi #LISSU aliyepoteza Passport Bar, vijana walewale wakanifuata inbox unaona tulikwambia tulia, nikawaambia mimi ngoja niendelee na kichaa #LISSU na Gaidi #Mbowe mtaungana na mimi mbeleni, wakaniona napoteza.

Bahati nzuri Rais #Samia akafanikiwa kuongea na #LISSU kama Brother and Sister kwa muda wa saa nzima, kabla jogoo hajawika Tundu #Lissu huyoooo #Space, eti haya ndiyo nimeongea na Rais na nimempa masharti haya na haya na afanye hivi na vile, yaani yeye #LISSU ametoa masharti kwa Rais na mwenyekiti wetu wa Chama AISEEE??!!!!, nikiwa natafakari kichaa huyu, vijana walewale walionao sifai wakanifuata inbox tuungane pamoja kupambana na vichaa na magaidi tena wao wakaja na kasi zaidi mpaka na michoro ya magaidi na kunipongeza.

Napenda niwaeleze ukweli, baada ya uchaguzi mkuu 2010 pale Dr #Slaa alivyochachafya na kupata kura nyingi na wabunge, CHADEMA wakajawa kibri, wakaanzisha harakati za kudai wanachokiita katiba mpya, kwa misingi kwamba wao hawahitaji Katiba Mpya ila kwenye mchakato wa katiba mpya waivuruge nchi kwa migomo kila hatua, yaani kila hatua zitengenezwe sanaa za kutokukubaliana na mchakato ili wananchi waone CCM haitaki katiba mpya wajawe na hasira.

Pia kuanzia mwaka 2012 pamoja na mchakato wa vurugu wa katiba mpya, CHADEMA walianzisha mchakato wa kuteka, Kutindikali, kung'oa kucha na meno watu maarufu ambao wanaipinga serikali ili ionekane ni serikali ya CCM ili wananchi wazidi kuichukua, Rais aachane na matapeli yatampotezea muda tuendako, afocus maendeleo ya watu wake ambao ameuanza vema mchakato na kwa kifupi anaupiga Mwingii kwenye maendeleo.
Kichaa mmeongezeka kwani Mtu mwenye Akili timamu hajapunguzwa Ubongo hawezi kuandika UONGO kama huu huyu Mwandishi LAZIMA atakuwa na Mapungufu makubwa Mwilini toka kichwani mpaka Miguu na sana sana Kuondolewa UBONGO MWINGI
20211219_102505.jpg
 
Back
Top Bottom