MRADI wa Maboresho ya Bandari ya Dar es Salaam (DMGP)
Mradi huu unaohusisha ujenzi wa gati namba moja hadi nane umefikia asilimia 95 ya ujenzi wake huku uzinduzi rasmi wa mradi huo ukitegemewa...
Gazeti la Fahari Yetu limeandika tuhuma dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe, likimhusisha na matumizi ya milioni 800 za ujenzi wa jengo la ghorofa la Ofisi za Makao...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, mapenda kutoa yangu machache ya moyoni kumshauri Rais wangu mpendwa MH SSH, katika uongozi...
Ni mara mia uwe Mkuu wa Wilaya kuliko kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya, japokuwa DC hana miradi na fedha hazipitii kwake.
Ukiwa DED hulali vizuri, una watumishi wengi , una miradi mingi...
Hawa viongozi au Marais wawili Rais Samia (Chifu Hangaya) na Rais Hussein, kwa kweli sijaona jipya ambalo litamtufaisha raia, nikimaanisha vijana na wazee kuajiriwa.
Kama kuna mtu analijua...
PEPO MCHAFU KATIKATI YA MTU MWEMA
Ukisoma Katika Biblia Kitabu cha Mathayo 2 Utakutana na Mtu mmoja aloyeitwa Herode. Wakati Mungu akiwa na Mipango yake Hakuna mtu yeyote anaweza Kuzuia. Herode...
Tutaanza sasa Kuwahisi kuwa huenda hamtaki / hampendi Kukaa Tanzania mliko na Wajibu nako na mnataka kuwa Angani 24/7 kwani Tanzania inanuka na Watanzania tunanuka vile vile.
Na hata pia Kiafya...
Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K
Siku hizi utaratibu...
Ukweli lazima usemwe. Bunge hili la sasa limepatikana kimagumashi sana. Ni zao la 'uchafuzi mkuu' wa mwaka 2020. Wapo Wabunge waliopita bila kupingwa kutokana na sarakasi zilizochezwa na CCM yetu...
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Jumatano Februari 23, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua hatua ya Jarida kubwa la Marekani la Inside the Nation kumtaja Rais Samia kama Rais...
TANZANIA kama ilivyo kwa Bara la Afrika ni miongoni mwa nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi. Inakadiriwa kwamba kati ya mwaka 2012 mpaka 2017 katika nchi kumi zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi...
Siku chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni taarifa yake ya utekelezaji wa shughuli kwa mwaka 2021/2022 ilieleza kuwa Shirika la Ndege la Tanzania limepata...
Ni ushauri tu kwa sababu CHADEMA wana mtindo wa kukurupuka dakika za mwisho hatimaye wanatuletea mara Lowassa au Nyalandu.
Sasa Tundu Lisu ameshasema mapema kabisa kwamba hana pass ya kusafiria...
kitu ambacho nchi nyingi ukiona mmoja kumbeba mwenzake basi ni hizi sehemu mbili ambazo zina lindana kwa sababu zao binafsi.
hizi sehemu mbili zikitenganishwa na kuwa azifungamani kushirikiana...
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
Ameokoa fedha...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8.
Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa, ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye, tena bila kusema wanampeleka wapi...