Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau, Nawasalimu. Kwa masikitiko makubwa napenda kulalamika juu ya kadi zinazotumika kuvuka kwenye pantoni maarufu kama N CARD,tangu Ijumaa wiki iliyopita kumekuwa na sintofamu kwa wateja...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
“Serikali tunataka kubadilisha taratibu za usafiri ndani ya Mji wa Unguja, tunataka kuleta mabasi ya kisasa yanayotumia gesi au umeme ili kupunguza kuchafua hewa. “Tunataka kuendelea ili tusiwe...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
=== Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Ndg Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05|02|2022 amezindua rasmi mfumo mpya wa kadi za kielekitroniki, Baada ya " CHADEMA Digital " kukwama hasa kwa...
11 Reactions
71 Replies
7K Views
Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na...
9 Reactions
114 Replies
9K Views
Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Huyu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi zanzibar akiwa msaidizi wa hayati Magufuli alifundwa haswa akufundika katika style ya uongozi, Baada ya kutawazwa kua Rais Zanzibar,aliifumua serikali haswa...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Gabriel ameagiza kujengwa kwa madarasa ya ghorofa 4 katika shule ya msingi Mwenge ili kukidhi idadi kubwa ya wanafunzi iliyopo. Awali mkuu wa wilaya ya Ilemela...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hii iwafikie viongozi wetu, Tusije kubali kujiingiza kwenye issue za akina Putin kwani Putin huyu ni ndugu yetu kabisa. Tumeishi naye Bagamoyo, alitufundishia ma freedom fighters. Hivyo sisi...
27 Reactions
114 Replies
11K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo...
33 Reactions
343 Replies
29K Views
Tukiacha ushabiki wa kivyama na kujipendekeza (unafiki), Licha ya kila mtu kujitokeza kujaribu kujibu hoja ya Spika Ndugai ama kuizungumzia hoja hiyo, na hata Serikali (Rais) ameitisha mkutano wa...
34 Reactions
183 Replies
12K Views
Eti wewe Matawi ya juu na matawi ya majuu. CCM walifungua tawi la chama chao uingereza. CUF nao walifungua. CHADEMA nao wanamawakala wao. Sheria ya vyama iko kimya kuhusu matawi haya. Lakini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Yesterday, February 27, 2022, thugs of the ruling Zanu PF party of Zimbabwe stormed into a campaign rally of the Opposition Citizen's Coalition for Change (CCC Zimbabwe) and brutally attacked the...
1 Reactions
8 Replies
940 Views
Nimejaribu kutafakari hotuba za Rais siku za nyuma na hii ZIARA yake Ubelgiji iliyopelekea kuzungumza na Tundu Lissu, makamu mwenyekiti wa Chadema. Yamkini Rais atatumia nafasi yake kumteua Lissu...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
MEYA JUMA RAIBU MWIBA MKALI KISIASA MOSHI Nilianza kumfuatilia huyu kijana, Mwanasiasa machachari na mpenda maendeleo Ndugu Juma Raibu ambaye ni Diwani wa Kata ya Bomambuzi iliyopo Manispaa ya...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
VIKWAZO VYA KIUCHUMI NA ATHARI ZAKE Kitendo cha taifa letu, Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingia katika Uchumi wa Kati, ni hatua ya kimaendeleo. Lakini leo hii hoja ntakayoiweka mezani ni...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu, Gazeti la JAMVI LA HABARI limeendelea kuandika masuala yanayohatarisha ustawi wa watu, wanyamapori, mifugo na uhifadhi katika Mamlaka ya Uhifadhi wa Eneo la Ngorongoro. Gazeti hilo...
2 Reactions
90 Replies
5K Views
Jfteam Taifa tuna hazina kubwa ya watu wanaofaa kuwa washauri wa viongozi wakuu. Katika taifa letu namlinganisha Askofu Niwemugizi wa Ngara - Tanzania na hayati Archbishop Desmond Tutu wa Africa...
10 Reactions
50 Replies
6K Views
Mimi sio mpenzi sana wa siasa za watu ila napenda kukiri kuwa so far, kati ya watu ninaowaona wana akili na wanaweza kushika vizuri kijiti kutoka kwa Mama Samia coming 2030 ni Ndug. Hussein Bashe...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…