Asha Abdala
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 1,131
- 43
Eti wewe
Matawi ya juu na matawi ya majuu. CCM walifungua tawi la chama chao uingereza. CUF nao walifungua. CHADEMA nao wanamawakala wao.
Sheria ya vyama iko kimya kuhusu matawi haya. Lakini sheria inaruhusu chama kuwa na makundi ya nje ya wananchi wa tanzania yanayokiunga mkono chama.
Maswali yangu kwa watanzania wa nje.
Je, mnahitaji matawi ya vyama vya siasa vya Tanzania huko mlipo? Kama ndio; yaanzishwe kwa mfumo na utaratibu gani? Na je; yafanye kazi gani za kisiasa?
Nauliza haya kwa kuwa wengi mnaonesha mnaguswa na hali ya taifa ilivyo ilihali nyinyi ni wachangiaji wakubwa wa pato la Tanzania kwa fedha mtumazo kutoka huko mlipo.
Na inaelekea wengi wenu mnataka kuwa wadau wakuu wa uchaguzi 2010.
Nawaombeni mjadili maswali haya kwa kina.
Atakayechangia vizuri zaidi nitampa ile zawadi niliyonayo.
Asha