Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanaharakati na Mpigania haki za Binadamu Titto Magoti , amefungua kesi ya Kikatiba Mahakamani , akipinga wafungwa kunyimwa haki ya kupiga kura na kuchagua viongozi wanaowataka . Washitakiwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa. Kwanini nasema hivyo? Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna...
10 Reactions
72 Replies
7K Views
Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana. Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana...
23 Reactions
48 Replies
4K Views
Hali ni tete kwa wabunge wa CCM wanaoenda majimboni kwao, kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wao. Katika hali ya kushangaza wabunge wa CCM waliopata kura za kihistoria kwa kupata ushindi...
16 Reactions
66 Replies
5K Views
Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
Yeye ndie alieanzisha kitu hiki ambacho hakipo duniani nchi yoyote ile zaidi ya hapa kwetu. Haiingii akilini vya upande A ni vya upande B lakini vya upande B si vya upande A, Very bitter...
12 Reactions
65 Replies
4K Views
Huyu jamaa alikua ni miongoni mwa walinzi wa Rais JPM tena wale ambao ni very special ambao wanakua in a close yard na rais, siku za hivi karibuni alikua haonekani kabisa kwenye misafara ya anko...
18 Reactions
886 Replies
227K Views
WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi. Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza. Leo Tanzania tupo na dini nyingi...
1 Reactions
3 Replies
901 Views
Karibia viongozi wote waliohutubia jana Ikulu walimsimanga na kumchambua vilivyo Ndugai wakiongozwa na Rais Mwenyewe. Ni Waziri Mkuu Majaliwa pekee ambaye hakugusa kabisa wala kuchambua kauli za...
28 Reactions
143 Replies
12K Views
Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje. Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Wananchi wa wa kata ya Loya jimbo la Igalula wanataka majibu ya ahadi zako kuhusu mambo yafuatayo:- 1.Ukarabati makini wa Barabara ya Mabeshi - Loya hasa baada ya mafuriko ya mwaka huu! Hadi sasa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya nje Mh Mulamula amewataka watanzania takribani 300 walioko Ukraine wajitahidi waweze kuingia Poland ambako uratibu unafanyika. Mulamula amesema ameona ubaguzi unaoendelea...
7 Reactions
75 Replies
6K Views
Wanaukumbi. CHADEMA ILITUMIA MILIONI 377 NJE YA BAJETI Ukaguzi umebaini Tsh. 100,000,000 zilitumika kwa shughuli ambazo hazikuwepo kwenye bajeti Chama kilinunua Magari 5 kwa 227,430,000 na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SADC imezindua kituo cha Kupambana na Ugaidi jijini Dar es Salaam ili kuweza kukabiliana na ugaidi unaotamalaki barani Afrika. Waziri wa ulinzi mama Tax amesema kituo hicho ni muhimu sana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama! Hakusoma...
13 Reactions
55 Replies
4K Views
Tanzania imetangaza kua kutakua na ukaguzi wa vyombo vyote vya usafiri vya moto kwa mwezi March, na hela itakayopatikana itatumika kununua usafiri kwa mapolisi. Ni majuzi kama sii Aug au sept...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Tarehe 13 mwezi August mwaka 1990 magazeti yote ya Tanzania yalikuwa na vichwa vya habari vilivyohusu kujiuzulu kwa baraza la mawaziri jana yake yaani tarehe 12. Taarifa hizo zilisema kuwa katika...
15 Reactions
25 Replies
7K Views
Wanaukumbi. Ngorongoro, Burj Khalifa, Ukraine, Katiba, Zitto, Mwenyekiti, Jiunge Mnyororoni, Zelenskyy Kidume, kuichukua Zanzibar, Dokta Slaa, Royo Tua, Bunge la Space kila wiki, mbona kama mambo...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Nitafurahi sana nikipata audio Clip ambayo itazidi dk 5 Rais wetu Mpendwa akichana mistari kwa kiingereza katika mahojiano au maelezo flani sehemu yoyote. Iwe imenyooka haijaungwa ungwa...
9 Reactions
150 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…