Salaam Wakuu
Ndo Maana watu wanalalamika rais ana Mamlaka makubwa hadi kuingilia Sheria, Historia na Maisha ya watu waishije.
Yule mwenda zake alishauriana na Mke wake akaona atoe tamko kwamba...
Yaani Kuweni na Moyo Uliojaa Fadhila..
Zito alijaribu Kumuomba Mama Amsamehe Mbowe Akagonga jiwe! Nanyi mkamzodoa 'eti' Nani Kakutuma?
Hawa Viongozi wa Dini Wameamua kujitoa Ufahamu Kumuombea...
Muda si mrefu Chadema wataishiwa ajenda, mkakati uko mezani kuizima kabisa ajenda ya katiba mpya, ife kifo Cha kawaida (natural death).
Baada ya kuizima ajenda hiyo unadhani CDM itabaki hai...
Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba...
Zitto Kabwe kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo amewambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa amefanya sana jitihada kumtoa Mbowe jela na Mbowe mwenyewe alibariki jitihada za Zitto kupambana kumtoa...
Barua yangu ya wazi kwa Mh Freeman Akaeli Mbowe.
Mheshimiwa shaloom! Nilifurahi sana pale nilipo kuwa club house Rose mayemba akasoma ujumbe wakuwa upo huru pamoja na waliyo tarajia kuwa walinzi...
Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema.
Maana yake nini? Chadema iko...
Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni.
Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada...
Mwanasiasa A
Ambaye amekamatwa, kabambikiwa Kesi mbaya, Kachafuliwa, Kafilisiwa, Kateswa na Kanyanyasika huku akiwa amekaa muda mwingi Jela na akiombwa aombe Radhi ili aachiwe na anakataa mpaka...
Ndiyoooo.!!
Katika kesi iliyofutiliwa mbali na DPP, ya Mbowe na makomandoo watatu kulikuwa kunatajwa kukamatwa kete kadhaa zilizodhaniwa kuwa ni madawa ya kulevya zilizopatikana maungoni kwa...
Chama hiki hakina Ruzuku ata sent Mia, japo waziri mwigulu aliwaomba Sana waje wachukue Ruzuku, lakini kupitia Mbowe waligomea iyo Ruzuku.
Ni mwaka Sasa umepita Chadema haina Ruzuku ata ya...
Robert Kidando Wakili Msomi mtoto wa Daktari Mstaafu Mzee Kidando ni Wakili mtata msomi mwenye kipaji huwa hashindwi kwa kesi zozote
Ni mwadilifu sana namtabiria baada ya kesi hii atapewa Ujaji.
Habari wadau,
Hapa niko mahali fulani nasubiri kukamilisha jambo fulani na kwakuwa jambo husika linachukua muda, nimeamua kujilaza kwenye benchi nikisubiri kuhudumiwa.
Wakati nikiwa nimejilaza...
Ukweli mchungu lakini ni lazima tuukubali tu. Kulikua Kuna mashinikizo ya kila namna kutoka kila upande yakitaka Mbowe na chadema waombe msamaha.
Ilifikia hadi humu kukawa na nyuzi nyingi za...
Rais Magufuli anaweka jiwe la msingi la barabara ya Kidatu - Ifakara. Sherehe hizo zimehudhuriwa na wabunge wote wa Chadema na CCM mkoani Morogoro. Karibu!
Mkuu wa mkoa Dr Kebwe amesoma risala ya...
Endapo Rais WA nchi akakuita Ikulu Kwa mazungumzo ukakataa kwenda kumsikiliza Kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata?
Ukitii unaweza ukamsikiliza na baada ya kumsikiliza ukaona anataka kukutoa...
Waziri wa uwekezaji mh Mwambe amenukuliwa akisema kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo uliowahi kusainiwa huku akisahau kuwa mwaka 2015 rais wa awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete...
Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba...
Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu...