Rais Samia muwajibishe Waziri Mwambe kwa kusema uongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Waziri wa uwekezaji mh Mwambe amenukuliwa akisema kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo uliowahi kusainiwa huku akisahau kuwa mwaka 2015 rais wa awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete alizindua ujenzi wa bandari hiyo.

Je, Kikwete alizindua ujenzi bila mkataba wowote?

Waziri Mwambe unamdanganya nani?

Jionee mwenyewe kwenye video hii.

Watanzania wote tumemsikia akisema uongo hadharani kweupe kwamba mkataba haukuwahi kusainiwa, kweli? Amekudhalilisha sana wewe Rais Samia, kwani huyu kala kiapo cha uaminifu.

Kuhusu bandari ya Bagamoyo mkataba ulisainiwa kitambo sana na serikali ya awamu ya nne na jiwe la msingi kuwekwa na Rais Jakaya Kikwete.ushahidi upo .

Uliwahi kuona wapi jiwe la msingi kuwekwa kabla ya mkataba kusainiwa? Mawaziri mfano wa Mwambe ni kirusi kibaya sana kwenye baraza la mawaziri.

Tunabaki pale pale kwa kuamini alichokisema hayati Magufuli kwamba mkataba ule ulikuwa wa hovyo sana ndio maana mazungumzo yanaanza kurekebisha unyonyaji uliopachikwa taifa letu.

Mwisho,
Mwambe anataka Magufuli aendelee kudhalilishwa kwa kumsemea uongo, kesho na wewe ukimaliza muda wako atakusemea kama alivyofanya kwa Magufuli.

Waziri wa uwekezaji mh Mwambe amenukuliwa akisema kuwa hakuna mkataba wowote wa bandari ya Bagamoyo uliowahi kusainiwa huku akisahau kuwa mwaka 2015 rais wa awamu ya nne Mh Jakaya Kikwete alizindua ujenzi wa bandari hiyo...
Kumbe kulishakuwa na heka heka hivi?.

Basi miaka mitano ya stone walimvumilia sana.
 
Watanzania wote tumemsikia akisema uongo hadharani kweupe kwamba mkataba haukuwahi kusainiwa, kweli? Amekudhalilisha sana wewe Rais Samia, kwani huyu kala kiapo cha uaminifu.

Kuhusu bandari ya Bagamoyo mkataba ulisainiwa kitambo sana na serikali ya awamu ya nne na jiwe la msingi kuwekwa na Rais Jakaya Kikwete.ushahidi upo .

Uliwahi kuona wapi jiwe la msingi kuwekwa kabla ya mkataba kusainiwa? Mawaziri mfano wa Mwambe ni kirusi kibaya sana kwenye baraza la mawaziri.

Tunabaki pale pale kwa kuamini alichokisema hayati Magufuli kwamba mkataba ule ulikuwa wa hovyo sana ndio maana mazungumzo yanaanza kurekebisha unyonyaji uliopachikwa taifa letu.

Mwisho,
Mwambe anataka Magufuli aendelee kudhalilishwa kwa kumsemea uongo, kesho na wewe ukimaliza muda wako atakusemea kama alivyofanya kwa Magufuli.
 
Kwa hiyo waziri Mwambe amemchoma Kikwete?
Hapna wala si mwambe mkuuu rais wenu ndio ndio mpango wake kweli unataka kuniambia hakuna hata document yyote iliyofik MEZANI KWA JPM WAKATI HUO?

2 Je kweli jpm alikuwa mpuuuz kiasi kwamba hakuona potentiall na mradi huo?

3 je jpm alitudanganya na yy kuwa wachina walikuja na matakwa ya hovyo? Au jmp nae aliingizwa changa na watu wake?
Je mwambe awamu y 5 hakuwepo?

4 mkataba uwekwe hadharani ndio jambo la msing sana.

Je kweli kwenye hili rais wenu mkuuu amejiridhisha au kikwete ndio karidhika?

Kwako mkuuu Kiturilo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom