Wakosoaji wanadai gharama za mwenge ni kubwa sana kuliko faida zake!
Napingana nao! Kwangu Mimi mwenge wa Uhuru naona kama bado thamani yake haijawahi kupatikana! Mwenge wa Uhuru ni moja kati ya...
Mbunge wa Kigamboni, Dr Faustine Ndugulile ni kama amepingana na mbunge wa viti maalumu Neema Rugangira anayetaka biashara za mitandaoni zitozwe kodi.
Dkt. Ndugulile aliyewahi kuwa waziri wa...
Hii ndio taarifa iliyotufikia kutoka Shinyanga , kwamba Patrobas Katambi ambaye ni naibu Waziri na Mbunge wa Shinyanga Mjini amefanya uzinduzi kabambe wa Daraja katika eneo korofi , Daraja hilo la...
Sehemu pekee Tanzania ambako wabunge wote wa CCM na upinzani hukubaliana Mia kwa mia ni eneo la posho zao bungeni
Kwenye hilo kuna muafaka wa kitaifa bungeni wa vyama vyote
Mtu akisema hakuna...
KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
Na Elius Ndabila
0768239284
2: UHUSIANO WA KIMATAIFA.
Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe...
Iliyokuwa Ofisi ya CUF Mwanza baadaye ikageuzwa kuwa Ofisi ya ACT Wazalendo Mkoa, leo wenyewe CUF wameirudisha.
=====
Maandalizi Ya Kuibadilisha Iliyokuwa Ofisi Ya ACT Mkoa Wa Mwanza, Ilemela...
Kauli zake zinatia mashaka makubwa.
Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia.
Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli.
Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
Mamlaka ya Mapato nchini Tanzania (TRA), imempa siku 30 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kwenda kulipia ushuru kontena zake 20 na kuzichukua kuanzia Jumatatu Mei 21, 2018 na endapo...
Kupiga mnada makontena haya yenye utata wa umiliki ni sawa na kufunika kombe mwanaharamu apite na tabia hii ikiachwa ndio itakuwa mchezo.
Nashauri iundwe Tume kuchunguza jambo hili ingawa...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru Ally Katika mwendelezo wa mahojiano aliyoyafanya na Raia Mwema, amemnyooshea kidole, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa namna anavyotekeleza majukumu...
1.Kuna uwezekano mkubwa TRA wamekurupuka na kukadiria kodi isiyoendana na thamani halisi ya mzigo uliopo kwenye makontena,huenda hawakujiridhisha kilichomo ndani.
AU
2.Waziri wa fedha kakurupuka...
DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE.
Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya...
Nadhani mlitakiwa kupata maoni ya wadau kwanza kabla ya kuidandia hoja hii na tena kuja kwa vitisho.
Tanzania tunao wanaofanya “Biashara za Kidijitali” wasiolipa kodi kweli?
Miaka kadhaaa iliyopita serikali iliamua kuwaamsha wakazi wa magomeni walio kuwa wakipata hadha ya mafuriko Kila mwaka kwa kuwapa ardhi pale Mabwepande.
Kimsingi zoezi lire lilijaa sana siasa,ila...
Amani Itawale kwenu Nyote!
Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi...
Amani iwe nanyi
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, Kama Mtanzania ninayeipenda nchi yangu, ninayejali maendeleo ya Watanzania wote vizazi na vizazi, leo nasema kwa Sauti moja, Kama tunajali...
Tukubali kwamba hii ni Wizara ambayo waliowekwa ni watu misheni town tu.
Nimesikiliza hata huyo anayeitwa Maharage Chande ni aibu tu. Yaani anahangaika na gharama za kuunganisha umeme! Hizo...
Msimamo wangu juu ya suala zima la Posho! Kufuatia habari tarehe 28 Novemba kuhusu ‘kupanda kimya kimya kwa posho za wabunge kwa zaidi ya asilimia 150' tarehe 29 Novemba 2011 nilitoa...
Leo hii Serikali imepewa euro mil 25 lakini walimu bado wako vilevile as if hakuna uhitaji.
Ubelgiji imetoa euro mil 25 purposely kwa ajiri ya elimu.
Ningetarajia Serikali iajiri walimu wawe...
Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili...