Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya kuomba kukàgua Daftari la Maslahi,Rasilimali, Madeni na matamko ya Zawadi ya mtumishi wa Umma Paul Makonda kwa mujibu wa kanuni za maadili ya viongozi wa umma za Na.168 kifungu cha 6 na 7...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
CCM inaenda kubadikisha katiba yake! Kwa habari zilizopo CCM inaenda kuwarudisha makati tawala kuwa wajumbe wa NEC, Utaratibu wa Makatibu Tawala kuwa wajumbe wa NEC uliondolewa na Hayati Magufuli...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni jambo la kushangaza. Wale wale waliolitumia jeshi pa polisi vibaya kwaajili ya manufaa yao ndio wao tena wanaolituhumu na kutaka lichunguzwe. Ni wazi CCM ndiye mnufaika mkuu wa matumizi mabaya...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa mfumo wa vyama vingi vya siasa ni mzuri, umeleta matumaini kwa kupanua wigo na kufungua zaidi uwanja wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati Mbowe amefutiwa mashitaka, umekutana na Rais, amepata support mpaka za balozi , makanisa na viongozi wengine wa dini. Kwa upande mwingine Ndugai anajificha hata hataki kuonekana, hakuna mtu...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Mama na serikali yako mnaulizwa na watanzania juu ya ule ujenzi wa meli mpya "MV Mwanza" Hapa kazi tu iliyokuwa ikijengwa pale Mwanza ni nini kinaendelea kwa sahivi. Ile meli ilitakiwa kubeba...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema idadi ya watumiaji wa huduma za intaneti imeongezeka kutoka milioni 28 mwezi machi 2021 hadi milioni 30 mwezi Februari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mara baada ya kuonyesha njia kutaka maridhiano na wapinzani wako kisiasa na baadhi ya watu ndani ya chama chako kutofurahishwa na jambo hilo, ku.ejitokeza wapambe wanaojifanya kukusifia kwa...
3 Reactions
5 Replies
622 Views
Nimeona taarifa ya Takukuru ikikanusha kwamba haijamkamata Paul Makonda. swali wanasubiri nini kumkamata? @takukuru.tz mimi naomba kusema jambo katika hili. Sina chuki na Makonda @baba_keagan...
11 Reactions
71 Replies
5K Views
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa...
11 Reactions
137 Replies
11K Views
Angalia Msukuma anavyowashambuliaga Wakurugenzi kule Jimboni kwake. Yaani Mwanasiasa yeyote akitaka kujitoa kwenye kutowajibika basi huanza kumshambulia Mtumishi wa Umma anayehusika na jambo...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Hivi karibuni Mama Samia alifanya mazungumzo na Mh. Lissu na Mh. Mbowe kila mmoja kwa wakati tofauti. Mazungumzo hayo kwa hakika yamekuwa yenye kuleta tija kubwa kwa taifa letu. Leo hii...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa. Mkutano huo ambao...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Tanzania bado ina shida kubwa sana katika kipengele cha siasa. Matatizo ya siasa za Tanzania yanasababishwa na Mambo makuu yafuatayo; 1) Katiba yetu imepitwa na wakati 2) Katiba za vyama vya...
1 Reactions
4 Replies
682 Views
Hii ndio taarifa ya sasa inayozunguka Tanzania , kwamba Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe leo 13/3/2022 amefika kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kumjulia hali Mbunge wa zamani kupitia...
21 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimesikia Rais ameagiza Waziri kuandaa kanuni za mikutano ya vyama vya siasa na hapa ndipo tunatakiwa kurejea katika historia yetu na kujiuliza tumekuwa na changamoto gani mpaka hapa tulipo na...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni. Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani. Je, hali ya demokrasia ikoje? Je, uhuru wa kujieleza ukoje? Je...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…