Ni vema mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA pakawepo ulinzi wa polisi yasije yakatokea kama ya Mrema enzi za NCCR kule Tanga

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,961
Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.

Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo Mh Zitto Kabwe.

Mwaliko ule umetafsiriwa kama ni Mbowe kumshukuru Zitto Kabwe kwa kumuombea msamaha na hatimaye Freeman akaachiliwa kwa kusamehewa lakini kupitia kirungu cha DPP.

Ikumbukwe Zitto Kabwe alitamba kuwa yeye alikuwa na taarifa ya Mbowe kusamehewa kabla DPP hajatimba mahakamani.

Mungu wa mbinguni ibariki Chadema na ACT wazalendo!
 
Acha na wewe kujivunjia heshima

Hilo neno la Mbowe kumualika Zitto limetoka wapi? Kama Zitto aliamua kwa ridhaa yake kumtembelea Mbowe mlikuwa mnataka makomandoo wa Mbowe wamzuie?

Acheni kuendekeza umbea wa yule bwege Mlawa, maana mtu mwenye akili timamu tukiona una quote maandishi yake itabidi tukudharau, na wewe sidhani kama waweza kukubali credibility yako ikaharibiwa na bwege yule.

Vinginevyo tuleteeni ushahidi wa Mbowe kumwalika Zitto amshukuru, kwa nini amualike amshukuru badala ya kumfuata? Chunga heshima yako brother!
 
Yaani kama wewe ni mjumbe wa kamati kuu basi ushauri wangu ni sahihi kabisa.

Huyo unayemtaja Mlawa si mlikuwa naye hapo Ufipa!
 
Leteni ushahidi wa huo mwaliko na sio porojo zenu na propaganda uchwara baada ya zile za Msamaha kushindikana !
 
Ni ushauri tu kwa sababu kikao hiki kinaweza kuwa cha kihistoria kufuatia mambo makubwa yaliyotokea hivi karibuni.

Ni wazi kuna kamgawanyiko fulani ndani ya Chadema baada ya mwenyekiti wao Freeman Mbowe kumualika nyumbani kwake KC wa ACT wazalendo mh Zitto Kabwe.

Mwaliko ule umetafsiriwa kama ni Mbowe kumshukuru Zitto Kabwe kwa kumuombea msamaha na hatimaye Freeman akaachiliwa kwa kusamehewa lakini kupitia kirungu cha DPP.

Ikumbukwe Zitto Kabwe alitamba kuwa yeye alikuwa na taarifa ya Mbowe kusamehewa kabla DPP hajatimba mahakamani.

Mungu wa mbinguni ibariki Chadema na ACT wazalendo!
Au uzuiliwe kwa Mabomu na FFU , au siyo ?
 
Back
Top Bottom