Rais Samia, Jiweke Mbali na Wapambe Wapotoshaji

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,048
Reaction score
74,772
Mara baada ya kuonyesha njia kutaka maridhiano na wapinzani wako kisiasa na baadhi ya watu ndani ya chama chako kutofurahishwa na jambo hilo, ku.ejitokeza wapambe wanaojifanya kukusifia kwa kutumia lugha zenye maudhi kwa wenzako ili kuleta ugomvi tena.

Magazeti kama hili ndiyo yalimpotosha sana hayati Magufuli na kumkosanisha na wengine ndani na nje ya chama chake.

Yakemee la sivyo wataharibu nia yako ulitokusudia kama ni kweli.
IMG-20220314-WA0005.jpg
 
Mara baada ya kuonyesha njia kutaka maridhiano na wapinzani wako kisiasa na baadhi ya watu ndani ya chama chako kutofurahishwa na jambo hilo, ku.ejitokeza wapambe wanaojifanya kukusifia kwa kutumia lugha zenye maudhi kwa wenzako ili kuleta ugomvi tena...
Ndo hivyo tena mkuu, kibarua kishaota mbawa, so tafuta kazi nyingine ya kufanya. Mlioacha kutafuta kazi za halali kwa kutegemea kupata malipo kupitia thread zenu za kuichafua serikali sasa hali imekuwa tofauti, maana aliekuwa anawatuma na kuwalipa ndio huyo alieamua kuunga mkono juhudi za uongozi bora na uliotukuka wa mama.
 
Msiba ni tapeli hana issue
 
Kuna mtu kamwelewa huyu anitafsirie!
 
Back
Top Bottom