Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271

Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa vyama vya siasa pamoja na wadau mbalimbali wa siasa.​

Mkutano huo ambao awali ulitakiwa kufanyika Oktoba 21, mwaka huu lakini ukahairishwa, imeelezwa kuwa utafanyika Desemba 16 na 17, mwaka huu jijini Dodoma.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Desemba 4, 2021 Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya siasa, Juma Ally Khatib amesema mkutano huo utatanguliwa na semina kwa wajumbe wa baraza la vyama vya siasa kuhusu historia na majukumu ya baraza hilo, ambayo itafanyika Desemba 15.

Khatib amebainisha kuwa mkutano huo utakuwa na mada tatu zinazohusu masuala ya kisheria, demokrasia, siasa, uchumi na maadili ya kitaifa, yanayohusiana na demokrasia ya vyama vingi vya siasa.

"Baraza la vyama vya Siasa linatumia fursa hii, kushauri vyama vya siasa vyote vyenye usajili kamili, kuhudhuria mkutano huo, kwani ni fursa adhimu ya kubadiishana mawazo kuhusu mambo yanayotuhusu. Siasa ni ushawishi na ushawishi hufanikiwa kapitia njia ya mijadiliano," amesema Khatib.

Naye mwanasiasa Mkongwe na Mjumbe wa baraza la vyama vya siasa, John Cheyo ametoa wito kwa watanzania pamoja na serikali kuendelea kudumisha Uhuru na umoja.

"Nawaomba vijana na Watanzania tuipende nchi yetu na tumlaani mtu yoyote anayedhihaki nchi. Pia naiomba serikali iendelee kudumisha uhuru na umoja katika Taifa letu kupitia baraza la vyama vya siasa... wale wanasiasa wanaohamasisha vitu vya ajabu huwezi kupata kwa njia hiyo unayoitaka, hata Mwalimu Nyerere aliipata nchi hii kwa njia ya mazungumzo," amesema Cheyo.

Mwenyekiti wa kamati ya maadili na mahusiano wa baraza hilo, Doyo Hassan Doyo amesema baraza hilo liko kisheria hivyo linauwezo wa kutatua na kuondoa matatizo ambayo yanavikabili vyama vya siasa.

"Kwahiyo nitoe wito mwanasiasa yeyote atakayekiuka taratibu na sheria, tutamuwajibisha kwa mujibu wa sheria na kanuni ambazo tumejiwekea. Hivyo tunatoa wito viongozi wasiwe maneno ya maudhi kwa wengine, viongozi wa nchi pamoja na usalama wa Taifa," amesema Doyo.
 
Tunawatakia mkutano mwema , Lipumba atakuwepo ?
 
Anaenda kukutana na mavyama ya CCM.
 
Hili litakuwa baraza la vyama vya vibaraka wa chama cha majambazi
 
Wala pesa za nchi pasipo kuleta manufaa yoyote.
Huyo Cheyo ana jambo lipi la maana kuchangia katika usalama wa Tanzania?
 
Back
Top Bottom