Zanzibar: Rais Mwinyi apiga marufuku wananchi kuuziwa nguzo za umeme

Kiturilo

JF-Expert Member
Sep 27, 2021
709
2,858
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atakayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo nguzo inaendelea kuwa mali ya Zesco.

20220206_222543.jpg
 
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo nguzo inaendelea kuwa mali ya Tanesco.!!View attachment 2110634
Soon utasikia..maji bure umeme bure..chezea ma biliona ya pesa..mgao wa Tanganyika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom