Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,423
- 289,626
Sasa ni dhahiri kwamba awamu ya 6 imebaini kwamba wapo watu kadhaa walioongoza sekta , vitengo au mashirika ya umma waliondolewa kimakosa au kwa wivu tu na awamu iliyopita , tukaaminishwa kwamba ni mafisadi lakini hawakuwahi kushitakiwa popote .
Sasa baada ya kujulikana kwamba walikuwa " WATU SAFI na WAADILIFU " Tunaona mmoja baada ya mwingine wakirejeshwa kwenye nafasi zao huku wengine wakipewa vitengo vipya .
Je Lawrence Mafuru naye atarejeshwa kwenye nafasi ya awali Hazina ?