Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi. Awali Mazrui alikuwa waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto.
0D7CC84E-69F6-47B3-80D8-202074858CFE.jpeg


================
Ikiwa viongozi wa ACT ndani ya SUK wanatumia Ilani ya CCM kuendesha serikali, lini ajenda zao watazitekeleza.
================
 
Wameshakua sehemu ya serikali, ilani lazima itumike moja....hiyo yao itatumika wakishinda kiti cha Urais.
 
Back
Top Bottom