Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna vikundi vitatu vikubwa nchi za Ulaya na Marekani, ambavyo vimekuwa vikibweka sana kuzuia miradi mikubwa ya uzalishaji nishati mbadala kwa Ulaya na Marekani ambavyo vimesababisha uzalishaji wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
NJAA INAWEZA KUTUFUNDISHA KULIKO WALIMU. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala mkubwa juu ya pembejeo za kilimo kupanda bei mara dufu. Bahati mbaya toka mijadala hii imeanza hakujawa...
2 Reactions
0 Replies
581 Views
MWAKA MMOJA BILA JPM;FALSAFA YA UTIMILIFU WA NYAKATI. Leo 23:15pm 13/03/2022 Hayati Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa ujumbe wa shukrani kwa viongozi wa dini na watanzania wote kwa kuitika...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri. Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Kupitia mahojiano maalumu na DW Rais Samia amesema kwamba Serikali imefuta kesi zote za Tundu lissu zilizokuwa mahakamani hivyo kama tatizo ni kesi arudi Tanzania. Pia Rais Samia amesema yeye na...
25 Reactions
116 Replies
11K Views
HABARINI NDUGU... Natumaini niwazima wa Afya. Nchi yetu imeshuhudia miparangano mingi Sana vita ya maneno chuki na mikwaruzano mbalimbali hasa ndani ya chama tawala (CCM) katika kipindi hiki...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Siyo majambazi, mafisadi na wachezea mifumo ya serikali tu wanaomjaribu rais Samia hata Chadema wanamjaribu. Leo wametangaza maandamano ya kudai katiba mpya na tume huru yani wanataka rais aache...
8 Reactions
81 Replies
6K Views
Wanasiasa wa nchi hii wengi wanaonesha hawana MENTAL STRENGTH na MATURITY. Alianza na yule wa TANESCO, badala ya kutuletea solution ya matatizo ya mgao wa umeme , alisikika akisema matatizo ya...
15 Reactions
42 Replies
3K Views
Mosi, je twende na Chadema katika kudai Katiba mpya ya JMT? Au tuwaunge mkono ACT wazalendo wanaoamini Tume huru ya Uchaguzi ndio muhimu kwa sasa kama ilivyo nchini Zanzibar. Ama twende na CCM...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Tusizuiliwe kuhoji, pesa za kuendelea miradi mathalani bwawa la Nyerere, ujenzi wa reli na miradi mingine Raisi Mwendazake aliwai kusema sio mara moja au mara mbili, kuwa pesa zipooooooo!nasema...
4 Reactions
13 Replies
882 Views
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao. Wote wawili waliuawa bila hata huruma. Kiongozi...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Mzungu aligeuza Ngorongoro kuwa Hifadhi mwaka 1959 kabla ya hapo mbona Wamasai hawakuiharibu? Kama Wamasai ni waharibifu wa mazingira kwa nini Mzungu aliikuta ikiwa intact? Kwa wasiojua Mkoloni...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Nyerere kafariki miaka zaidi ya 20 iliyopita ila kutokana na Nyerere day kuwa ni siku ya mapumziko Leo hii mwanafunzi wa darasa la tatu anajua Nyerere alikuwa nani, hii ni kutokana na Nyerere day...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Tunaona tu watu wakisifia mwaka mmoja wa rais Samia utafikiri Magufuli alikufa ili Samia awe rais. Juhudi zozote za aina yoyote kumpotezea Magufuli haziwezi kufanikiwa. Magufuli ametufunza na...
55 Reactions
135 Replies
9K Views
Mama ni muungwana na anafwata ushauri wa kikwete na jk alikuwa ni mtu muungwana. MFANO WA MWANDOSYA Wakati wa utawala wa jk MWANDOSYA alikuwa tishio sana na infact MWANDOSYA na JK walishazinguana...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wanajamvii! Salam Je, mmewaona wasakatonge na mnasadiki mu'miongoni mwao Basi anayewatazama kwa juu ama kwa chini ama katikati akiwa amejichanganya miongoni mwao wasakatonge anayo maoni na...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Nikiwa kama mwanasiasa huru na raia mwenye ushabiki binafsi kwa mwanasiasa mkongwe Freeman Mbowe ambaye ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA nina maoni yangu binafsi juu ya mwelekeo...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya...
15 Reactions
68 Replies
7K Views
Najaribu kufuatilia hizi teuzi za viongozi naona watu wanatolewa na kurudishwa hadi najiuliza kwani nchi yetu haina kabisa sura mpya? Yani inteligensia ya taifa imezunguka nchi nzima kutafuta...
2 Reactions
8 Replies
799 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…