Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo, hili ni ombi kwa Jaji Mkuu wa Tanzania, CJ Masaju, kumkumbusha kuwa Mahakama ndie the costodian (Mlinzi ) wa Katiba ya...
3 Reactions
6 Replies
142 Views
Kundi la Wahafidhina na Wanamageuzi wa Ulaya (ECR Group) limeliomba Bunge la Ulaya kumtunuku Tundu Lissu, kiongozi wa upinzani nchini Tanzania na mtetezi wa haki za binadamu, Tuzo ya Sakharov ya...
8 Reactions
64 Replies
903 Views
Salaam wana jamvi, Nimesoma maazimio ya kikao cha NEC ya Chama cha Mapinduzi, yameniacha na maswali bila majibu. Kuna wengi hawajui kuhusu CCM, wanadhani CCM ni chama tuu cha siasa,kama vyama...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Hivi ndivyo ilivyo TOA MAONI YAKO
16 Reactions
44 Replies
545 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Leo. Kiukweli kabisa, upinzani Tanzania una hali mbaya sana, uko dholfu bin taaban kwa kukosa watu wa mikakati, hivyo kuendelea kufanya...
15 Reactions
130 Replies
4K Views
hii ndio kamati kuu ya ccm-CC itakayochuja majina wa wagombea Urais 2015 na kubakiza watatu(3) watakaoenda NEC. VIONGOZI: 1. Wilson Mukama,2. John Chiligati, 3.Vuai Ali Vuai, 4.January Makamba...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA. Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama...
5 Reactions
81 Replies
1K Views
Wanabodi, Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums. Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea...
52 Reactions
256 Replies
6K Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka...
0 Reactions
2 Replies
49 Views
Serikali imetenga Shilingi bilioni 34 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Makumbusho ya Marais nchini, unaotarajiwa kujengwa katika eneo la Mtumba, Dodoma. Mradi huo utatekelezwa kwenye eneo...
5 Reactions
92 Replies
6K Views
  • Redirect
13 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu...
1 Reactions
6 Replies
731 Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MOROGORO MJINI. NEEMA KATA YA MAGADU. MHE. ABOOD AHAIDI TSH. MIL. 15,000,000/- ZAHANATI KATA MAGADU Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz. M.Abood leo tarehe...
0 Reactions
4 Replies
594 Views
Rais Magufuli muda huu anasema ameshazungumza na Mfalme wa Morocco akimuomba ajenge Msikiti Mkubwa kabisa Dar es salaam na amekubali ataujenga. Aidha Rais amesema kuwa Mfalme wa Morocco amekubali...
6 Reactions
733 Replies
81K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii haiwezekani na wala haikubaliki na wala haistahili kukubalika wala kuvumilika wala kufumbiwa macho wala kuacha ipite hivi hivi. Alichokifanya huyu Dada wa CHADEMA...
8 Reactions
157 Replies
2K Views
Kwa mtu yoyote makini, atagundua clip inayodaiwa ni ya Lameck akiwa faragha, ni clip ya kutengeneza na sababu ni hii: Mtu anaonekana kukoroma, ila ukiangalia vizuri, utagundua kifua hakipandi na...
22 Reactions
110 Replies
2K Views
Kama unajua tupeni maelezo
8 Reactions
31 Replies
530 Views
Ndugu zangu Watanzania, Sitaki kuongea chochote kile ila nakuachia Mwenyewe uangalie kwa Macho yako na ufanye tathmini. Ila Mimi Naona kuwa ukiachana na Umri Mkubwa alionao Dkt Slaa lakini...
8 Reactions
101 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili Ni Andiko nilikuwa nataka Kulitoa Wakati Ule Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Akiwa Makamu wa Rais . Nilitaka Kulitoa baada ya kuona kuna Mambo hayaendi sawa na kuna vitu...
3 Reactions
28 Replies
550 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…