Kitendo cha Rwekaza Mukandara kuwa mwenyekiti wa mchakato wa Katiba Mpya ni mkakati wa kuikwamisha tena, Mukandara hana historia nzuri kwenye siasa za vyama vingi kwani ni kada mwaminifu wa CCM...
Tumeona maamuzi kadhaa ya kitaifa hivi karibuni yamekuwa yakitolewa kupitia uundwaji wa tume, kamati na vikosi kazi.
Tunaona imeundwa timu ya kuangalia kanuni za kuendesha mikutano ya siasa...
Madai ya kupata katiba mpya ni mapambano ya haki ambayo hayawezi kukamilika bila ya kupata katiba nyingine tofauti na iliyopo.
Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya wapiganaji (Mola awafanyie wepesi)...
Mwaka mmoja wa mama Samia madarakani umekuja na kila aina ya shamrashamra, ila hii ya Leo ndio kali.
Timu ya Yanga imevaa jezi yenye picha ya Rais kwa mbele na ina maneno "Rais Samia Suluhu...
Ni kweli watanzania wanahitaji katiba mpya?
Kabla ya kuanza kutekeleza hitaji la katiba mpya, ni lazima tujue watanzania wangapi ni wahanga wa katiba ya Sasa.
Tukishajua wako wangapi ni lazima...
The aim of politics is....
1. Economic gain.
2. Service of humanity.
3. Personal fame
4. To secure high values
5. To exercise human rights
6. To organize humans
7. Personal agenda
8. Collective...
Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua.
Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama...
Kwa kauli aliyotamka Mhe.Raisi kilimanjaro kwa kusema amewasamehe kwa kuchagua upinzani, kuna haja gani ya vyama vingi?
Jimbo la Hai kuchagua chama pinzani ni kosa?
Hatambui kuichagua CCM toka...
Nilimsikia waziri Ndumbaro pale bungeni akisigina manung'uniko na malalamiko ya wamaasai kuondolewa kwenye ardhi yao ya asili Ngorongoro.
Ndumbaro alisema "ardhi siyo ya kabila fulani, ardhi ni...
“Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu”...
MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe...
Nchi si shamba la bibi. Katika nchi, yote ni kwa mujibu wa katiba.
Kwa mujibu wa katiba, sote tuna haki sawa ambapo uamuzi ni kwa kura. Kura moja kwa mtu.
Si Samia, Zitto, Mukandara, Dr. Hosea...
Mgeni rasmi Mheshimiwa Rais mahali ni Mlimani City kauli mbiu ni maji chini ya ardhi hazina isiyoonekana. Ratiba ya shughuli hio hapo katika picha.
Ushauri wangu mimi kama mdau wa hii sekta...
Habari zenu.
Serikali ya Tanzania, ikitengeneza mfumo Bora wa utekelezaji wa shughuli, uwajibikaji na majukumu yake ya kiserikali basi Tanzania itaendelea.
Nje ya Katiba mpya, watanzania...
Shirikia la Hifadhi la Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza kifo cha Faru Rajabu aliyekuwa na umri wa miaka 43, leo Jumatatu Machi 21, 2022 akiwa katika Hifadhi ya Serengeti sababu ikitajwa kuwa ni...
Wapo wenzetu ambao kila wakisikia madai ya katiba mpya, wanadhani tunataka kùgombea na kuchaguliwa au kuchagua tu. Hawaachi kusema tuna uchu wa madaraka ilhali wao ndo ving'ang'anizi wakubwa, ruba...
Hivi ninyi watu mnaojiita wapinzani ni nani aliyewaroga?!
Kwanini hamuwezi kwenda na agenda moja yenye maslahi mapana kwa wananchi?
Agenda ya katiba mpya ni kilio cha muda mrefu kutoka Chadema...
Kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa kilichoundwa na Rais Samia Suluhu leo kinawasilisha taarifa ya yake na mapendezo kwa Rais Ikulu, Dar es Salaam...
Hamad Rashid anadaiwa kupanga mkakati wa wa kumuengua Maalim Seif kwa madai kwamba tangu aingie kwenye Serikali ya mseto kama Makamu wa kwanza wa Rais ameshindwa kukiendeleza chama na kinaelekea...