Balozi Polepole kuanzia chuo cha Diplomasia apigwe msasa then akutane na Rais kabla ya kutimkia Malawi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
“Mheshimiwa Balozi (Polepole) najua baada ya hapa watakuweka darasani kwanza pale Chuo cha Diplomasia utakapotoka pale kabla hujaenda Malawi nitakutana na wewe, kwa hiyo tutazungumza kwa kirefu” amesema Rais Samia Suluhu Hassan kwa kifupi akimuelekeza Polepole baada ya kuapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi kabla ya uteuzi huo alikuwa mbunge wa kuteuliwa.

#MwananchiUpdates

Huyu jamaa bado kakalia kuti kavu kwa mujibu wa kauli ya SSH.

IMG-20220315-WA0031.jpg
 
Nyinyi pigeni story huku mtaani ila mwenzenu anaendelea kuijaza CV yake vizuri kwa safari ya huko mbeleni.

Waswahili tuendelee na utamaduni wetu kwa muuza kahawa.
Nimenukuu alichokisema Rais sijaweka maneno yangu hapo
 
Back
Top Bottom