Kilimanjaro: Kauli ya Rais 'Nimewasamehe kwa kuchagua upinzani'. Je, ni kosa kuchagua chama pinzani?

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
947
Kwa kauli aliyotamka Mhe.Raisi kilimanjaro kwa kusema amewasamehe kwa kuchagua upinzani, kuna haja gani ya vyama vingi?

Jimbo la Hai kuchagua chama pinzani ni kosa?

Hatambui kuichagua CCM toka 1995 ndio kosa kubwa na ndio sababu ya kudolola kwa uchumi wa TANZANIA toka uhuru.

IMG_6026.JPG

Tunaomba viongozi wetu wawe wanaandikiwa hotuba.

Mbeya walikuja waafrika kusini walitaka kujenga kiwanda cha kuzalisha umeme kupitia taka chafu serikali ilikataza tokana Mbeya Mjini na Mbeya kiujumla kuwa na wafuasi wengi wa vyama pinzani wakaja DAR wajerumani nao walitaka kufanya wa-afrika kusini serikali ikazuia.

Moshi kisa upinzani ujenzi wa stendi ukahamishiwa anakotaka Rais.

Hatuwezi kuendelea kwa staili ya kusema CCM ITAWALE daima.

Mhe. Rais tunaomba u-deal na mafisadi wa serikali zilizopita hata kama wanatoka CCM mbona nchi za wenzetu watu wanafungwa miaka mingi tokana na hatia za 1960 shuka chini?

Wewe serikali iliyopita tu unashindwa? Kamata Tibaijuka, Ngeleja, Chenge na wengine wote funga mpaka Lowassa.
 
Rais amewajibu wananchi baada ya kubebe majani kama ishara ya kumuomba msamaha.
Rais amesema nimewaelewa na nimewasamehe.. sasa hayo ya kusema sababu ni kuchagua upinzani unatakiwa kuwauliza walio omba msamaha.
 
Back
Top Bottom