MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii inachagizwa na uchapakazi wa Mbunge Mpya Saashisha Mafuwe ambae amekuwa akijikita katika kupigania maslahi ya maendeleo ya wananchi wa Hai na kuweka pembeni masuala ya uhasama wa kisiasa.
Mapokezi ya Mbowe yameingia upweke baada ya kuzuka taarifa za uwepo wa fujo za vijana wa bavicha waliokodiwa kutoka mara, Arusha na Moshi, taarifa zilizotapakaa katika viunga vya mji wa bomang'ombe ni ujio wa vikosi vya fujo na matusi kutoka mikoani ili kujaza mapokezi hayo ili kuudanganya umma wa watanzania kuwa Mbowe Bado anapendwa.
Wananchi wengi wamechukizwa na tabia ya Chadema kuhatarisha amani Kisha kujivika ngozi ya kondoo kuwa wanaonewa.
Katika hatua nyingine viongozi wa chama hicho wakiongozwa na Simon Mnyampanda wamekuwa wakipita katika makazi ya watu na kuwaahidi kuwa Kila atakaehudhuria mkutano huo atapatiwa nyama robo kilo, jambo ambalo limepingwa vikali na wananchi wa Hai wakisema wao wanataka hai yenye utulivu na maendeleo hasa kipindi hiki ambacho miradi mingi imefanyika Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan na Mbunge Saashisha Mafuwe.
Rai Yangu Kwa Chadema ni kuwa hii ni ishara ya kuishiwa hoja za ushawishi na kutumia nyama, watu wa Hai wameelimika hawawezi kudanganyika Kwa nyama Wala kisusio.