Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku sio nyingi zijazo, Bunge la katiba litakutana mjini Dodoma kufanyia kazi rasimu ya pili ya Katiba. Iwapo “kila kitu kitaenda sawa”, Katiba hii itakuwa ni ya kwanza itokanayo na umma/wananchi...
34 Reactions
113 Replies
15K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, slogan ile ya Tanzania ya viwanda je shangaz ana hoja?
3 Reactions
119 Replies
9K Views
Naelewa nchi yetu imejikita katika hii kauli mbiu ya viwanda. Halikuonekana wazi katika hawamu ya nne lakini sasa linaanza kutia shaka, hivi kujenga viwanda vyote eneo la ukanda wa pwani wa nchi...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo. Kimetanabaisha...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Wito waziri ummy mwalimu aje aseme ,ajitokeze Sasa ukimya unawawekwa wazazi njia panda ! Wakuu ni takriban mwezi sasa idadi ya watoto wanaolazwa kwenye hospitali mbalimbali nchini inatisha na...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
RAIS wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameeleza namna alivyopata ugumu kupokea taarifa kuhusu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, lakini akasema wananchi wasiwe na hofu kwa kuwa...
6 Reactions
28 Replies
6K Views
SPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME" Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya...
11 Reactions
154 Replies
13K Views
Kutokana na matendo na Mkanyanganyiko wa viongozi wake, ACT-Wazalendo imeshaonekana kama chama mamluki. Kutokana na imani ya Wazanzibari, haiwezekani kukiunga mkono trna ACT. Zitto Kabwe hivi...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu. Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
34 Reactions
47 Replies
5K Views
Kutoka Mlandizi, Chalinze - Mboga mkoani Pwani ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua mradi wa maji na...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Dar es Salaam. The National Identification Authority (Nida) says it is working on a national identity smartcard that would do away with the need to have multiple IDs. Currently, Tanzanians have...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nikupongeze kwa dhati mama Samia kwa kuongoza vema kwa huu mwaka mmoja. Haikuwa rahisi, lakini kilichokuwa kinatusononesha wengi ni ile state of fear na uncertainities. Tulikuwa tunaishi kila...
23 Reactions
84 Replies
4K Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
1. Vyama vyote vya siasa ni mali ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hivyo Nchi ina jukumu la kuvilea, kuvilinda na kuvipa nafasi ya kushiriki kazi za kimaendeleo ya nchi kwa ujumla...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Pamoja na hoja nyingi zinazotolewa kuhusu aliyekuwa rais wa JMT hayati JPM, ukweli utabaki kuwa ukweli. Magufuli alipigania maslahi ya taifa. Alitetea wananchi wa hali ya chini (wanyonge) Alikuwa...
32 Reactions
84 Replies
5K Views
Maji yakimwagika hayazoleki! Katiba iliyopo mliiona ni mbovu wenyewe mkaanzisha mchakato wa katiba mpya wenyewe!Wala sio Mbowe wala Lisu wala Upinzani nchini! Kuendelea kutumia jeshi la polisi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni kada wa ccm na mzalendo wa kweli basi pitia uzi huu wa kizalendo. Ni uchaguzi wa 2005 tu na kurudi nyuma ndio ccm ilishinda uchaguzi kwa kukubalika na wananchi tena kwa kupata kura...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Anaandika, Robert Heriel Taikon wa Fasihi. Hii ni tathmini ya uongozi wa Mama Samia Suluhu tangu alipoingia madarakani mwaka Jana 2021 mwezi machi, zikiwa zimebaki siku chache kukamilika mwaka...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limekuja na kauli mbiu kuelekea Mei Mosi 2022 ambapo humo nani wamegusia kuhusu mishahara na maslahi bora ya wafanyakazi. Tamko hilo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…