wakuu ningependa kufahamu maelezo (cv) ya mbunge januari makamba.
Kuanzia elimu yake, (na alama alizopata) na maisha yake kwa ujumla.
Na ni sifa gani ya pekee ambayo ilimfanya apate nafasi ya...
WADAU wa siasa wametoa maoni kuhusu uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuridhia pendekezo la kikosi kazi cha kuratibu demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Miongoni mwa mambo hayo ni matokeo ya...
Wabunge wa Kamati mbalimbali wako ziarani kukagua miradi.
Kampuni ya Shabiby (inayomilikiwa na Mbunge Shabiby) ikalikodisha Bunge mabasi makubwa 10 kwa ajili ya kuwatembeza Wabunge kwa siku 10...
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo tarehe 23/03/2022 itasikiliza na kutoa uamuzi juu ya maamuzi ya Rufaa ya kesi ya Abdul Nondo yaliyotolewa na Jaji Kente (aliyekuwa jaji wa Mahakama kuu Tanzania -...
Wadau nawasalimu wote Kila mmoja kwa imani na itikadi yake.
Baada ya salamu napenda kujikita katika kufafanua mada Kama kichwa Cha uzi kinavyojieleza.
Wote Ni mashahidi katika awamu ya...
Ninatambua kwamba ni wajibu wa mfanyabiashara yoyote kulipa kodi ili kuchangia pato la Taifa na hatimaye kuwezesha maendeleo, na ninaunga mkono jambo hilo.
Lakini Kodi inapaswa kulipwa kutokana...
Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au...
Mhe. Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwanza nianze kukupongeza kwa nafasi uliyonayo ambayo ni nafasi kubwa kiutawala wa mwanadamu katika Taifa letu. Pili, nikupongeze...
Kwa niaba ya Wananchi wako wa Chalinze mimi mtumishi wao Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Jimbo la Chalinze, ninakukaribisha Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Jimboni kwetu kwa ajili ya uzinduzi...
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari...
Pamoja na hatua zote zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya mapendekezo batili ya akina Mukandara, tupanue wigo.
Walisema umoja ni nguvu.
Kwa hakika wananchi wanataka katiba mpya na wako pote.
Wako...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Baada ya mipango na ahadi nyingi za kumaliza changamoto ya Uhaba wa maji jijini Dar na Pwani toka Uhuru kushindikana sasa mh.Rais SSH ameamua kufanya kwa vitendo...
Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi...
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT...
Sote hivi karibuni tumeshuhudia msajili wa vyama vya siasa, Jaji Mutungi, kwa kupitia Kamati yake iliyoiunda, akiwakilisha maoni ya taasisi anayoiongoza, kuhusiana na katiba mpya.
Nasema ni maoni...
Hayati Mkapa na Magufuli waliamini katika kutumia nguvu kukabiliana na wapinzani wa kweli kwa wakati husika ndio utaona Mkapa hakuwahi kukaa na CUF bali aliwatwanga wakakimbilia Shimoni Mombasa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua...
Kitendo cha hayati Magufuli kufanya diversication of ecomic development kilimkwaza sana Mbowe na sasa ameanza kufunguka yake ya moyoni.
Kiongozi anayeona kanda walikotoka wazazi wake na ukoo wake...
Hii ni taarifa ambayo hutakiwi kuikosa kwa sasa , na hasa kutokana na Matarajio ya wananchi wengi na mwamko mkubwa sana walionao kuhusiana na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ...
Viwanda vya nini!??
Ifike mahala watu wansoma taarifa za maendeleo ya Mkoa wawe makini..
Hivi neno 'kiwanda' watu wanajua maana yake!??
Taarifa hii mimi siiamini kabisa. Labda kama wamewajumlisha...